Askofu Mwamakula aenda alipozuiliwa Lissu kumtia nguvu

Askofu Mwamakula aenda alipozuiliwa Lissu kumtia nguvu

Wakati huohuo muendelezo wa uvamizi wa ofisi za Chadema na shughuli zao umeendelea nchini, hali hii inawatia hofu wananchi hasa wa vyama vya upinzani na kujihisi hawako salama katika nchi yao wenyewe.
mnajivamia wenyewe tu,kwenye ofisi za chadema kuna nini cha mno?
 
17:20hrs EAT
Pwani Tanzania

Jioni hii Tundu Lissu azungumza akiwa bado amezuiliwa barabarani


Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu azungumzia suala la Polisi kuweka vikwazo wakati yeye ni kiongozi wa chama asifanye majukumu aliyopangiwa na chama baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kumpangia kazi za chama baada ya zuio la Tume ya Taifa ya Uchaguzi la siku 7 asifanye Kampeni za 2020 kwa kofia ya Mgombea wa Urais.

Hapo ni Kiluvya? Basi sawa.
 
Viongozi wa dini wa kweli walioamua kuwa upande wa haki kipindi hiki cha dictator ni askofu Niwemugizi, Sheikh Ponda, Askofu Bagonza, Askofu Mwamakula na askofu Shoo. Hawa wameamua kuwa wazi dhidi ya hujuma. Inawezekana wapo wengi, lakini hawa wameishinda hofu waziwazi.
Hofu ya kulalana wanaume. Si kila Jambo kuiga
 
Jiwe anazidi kuikorofisha Jumuia ya kimataifa.

Huwa najiuliza hivi jiwe anaijua PENTAGON kweli ama anaisikia tu
Nahisi huwa anafikiri ni kanisa lake alilochangisha ujenzi wa msikiti ndani ya madhabahu asubirie tu kuvuliwa heshima
 
Ila bora Jiwe na watu wake waendelee na sarakasi zao hizi ili jumuiya za kimataifa zipate ushahidi wa wazi dhidi yao.
 
Lissu sasa Kama Bonifasi yule mbumbumbu anaengombea Ubunge Ubungo hahahha
 
Huyo Lissu anatapatapa tu baada ya kuona hawezi kupata hats 10% ya kura.
Sasa si wamwache kwanini wamfanyie yale ambayo wengine hawafanyiwi...., Kabla ya yote yeye ni binadamu na mwananchi ambaye anatakiwa kupata haki kama mtu mwingine yoyote...
 
Askofu atafurusha mapepo yaliyofunga njia mwanakondoo ameshinda tumfuate
 
Kuna clip inatembea kuwa umesema utalala hapo njiani ili kudai haki yako. Usifanye huo mchezo, hao ni watu waovu wanaweza kukufanya lolote usiku wa manane.

Kama waliweza kukupiga risasi saa saba mchana watashindwa kukupiga saa 7 za usiku??? Sasa hivi wewe ni zaidi ya tishio kwa bosi wao, kuwa makini.

CHADEMA LINDENI USALAMA WA MGOMBEA WENU.

Huu ni ushauri tu, mkitaka chukueni, mkitaka acheni.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hilo tukio la Lissu kukesha na maaskari akisimamia anachokiamini ndo jambo kuu linaloenda kuiangusha CCM wiki chache zijazo kwenye sanduku la kura.

Hii ni zaidi ya kampeni kwa Lissu kew sababu ingawa hajafanya kampeni ila hapa polisi wamemfanyia kampeni Lissu kwa kiwango cha nchi nzima na mikoa yake yote, na wilaya zake zote na kata na vijiji vyake vyote!!!

Nasema tena Tanzania nzima, hakuna na hajawai kutokea mwanasiasa kama Tundu Antiphas Lissu. Si nyerere, si kambona, si maalim, si zitto, si mtikila, si tuntemeke Sanga, Si aboud Jumbe wala si Mkapa, Kikwete, Mwinyi na Magufuli, Hakuna , nasema tena Hakuna yeyote kati ya hao aliyewai kufanya tukio kama hili la kuwa mstari wa mbele kusimamia unalolianini. Huyu jamaa psmoja na kufanywa mlemavu, anaacha mke nyumbani a nalala nje na kukesha katika kusimamia haki!!!

Ni hakika. Hakuna kama Tundu Antiphas Lissu

I salute you Lissu
Na Mimi nakazia hapo.hakuna kama Lisu
 
Hii kamati ya maadili ya viongozi wa dini bado wanafanya nini kumsimamisha askofu Mwamakula kutoa mahubiri kwa muda wa siku 7? au wamelala..
Wewe subiri tu,mwamakula amekosa maadili
 
Mtumishi yeyote anayesema ni wa Mungu wakati hawezi kukemea maovu na uonevu ndani ya Nchi. Huyo hana tofauti na sisi walevi na wazinzi Tu

Askofu Mwamakula ni Mtumishi wa Mungu kweli kwelikweli. Huyu ni uzao wa Ukok wa Walawi.
 
Back
Top Bottom