Askofu Mwamakula aenda alipozuiliwa Lissu kumtia nguvu

Askofu Mwamakula aenda alipozuiliwa Lissu kumtia nguvu

Hii kamati ya maadili ya viongozi wa dini bado wanafanya nini kumsimamisha askofu Mwamakula kutoa mahubiri kwa muda wa siku 7? au wamelala..
 
Kuna clip inatembea kuwa umesema utalala hapo njiani ili kudai haki yako. Usifanye huo mchezo, hao ni watu waovu wanaweza kukufanya lolote usiku wa manane....
Umeona mbali sana mkuu. Hawa watu ni waovu
 
Askofu alieamua kuifuata njia ya haki kwa vitendo, namkubali sana.

Wakati huu wengi wa maaskofu wanaishia kuhubiri haki wakiwa mbali na vitendo, na wengine hawaihubiri haki kabisa wanakazania tu amani, lakini yeye Mwamakula ameamua kwenda mbali zaidi na kuwaonesha wenzake Mungu wa kweli anataka kitu gani, hakika anastahili pongezi.
 
Jiwe anazidi kuikorofisha Jumuia ya kimataifa.

Huwa najiuliza hivi jiwe anaijua PENTAGON kweli ama anaisikia tu
Aijulie wapi huyo mwenye kichwa kama limao. Sana sana atakwambia ni yale maumbo aliyoyasoma kwenye Maths.

Anavunga eti mwamba.Anaweza kupambana na nchi za Magharibi kweli? Hana hata aliwezalo.
 
Askofu alieamua kuifuata njia ya haki kwa vitendo, namkubali sana.

Wakati huu wengi wa maaskofu wanaishia kuhubiri haki wakiwa mbali na vitendo, na wengine hawaihubiri haki kabisa wanakazania tu amani, lakini yeye Mwamakula ameamua kwenda mbali zaidi na kuwaonesha wenzake Mungu wa kweli anataka kitu gani, hakika anastahili pongezi.
Na hao Maaskofu uchwara huwa wanakandia sana Iddi Amin, lakini naamini ingetokea kwamba wangekuwa wanaishi enzi za Iddi wala wasingekandia hivyo, wangekuwa waimba mapambio wake wazuri mno.

Mwamba pale alikuwa ni Bishop Janan Luwum tu, wengineo wote tupa kule. Na sasa mwamba wa kiroho anataka kubaki Bishop Mwamakula tu, wengine tupa kule. Na nisione kenge anakuja kuniomba sijui zaka + sadaka, labda awe Mwamakula.
 
Katika muendelezo wa hali inayoonyesha kuwasikitisha wananchi juu ya uonevu na unyanyaswaji anaofanyiwa mheshimiwa Lissu baada ya kuzuiliwa kuendelea na safari yake ya mlandizi, Askofu Mwamakula amekwenda eneo la tukio hapo kibaha ili kumfariji na kumtia Nguvu...
Hilo tukio la Lissu kukesha na maaskari akisimamia anachokiamini ndo jambo kuu linaloenda kuiangusha CCM wiki chache zijazo kwenye sanduku la kura.

Hii ni zaidi ya kampeni kwa Lissu kew sababu ingawa hajafanya kampeni ila hapa polisi wamemfanyia kampeni Lissu kwa kiwango cha nchi nzima na mikoa yake yote, na wilaya zake zote na kata na vijiji vyake vyote!

Nasema tena Tanzania nzima, hakuna na hajawai kutokea mwanasiasa kama Tundu Antiphas Lissu. Si nyerere, si kambona, si maalim, si zitto, si mtikila, si tuntemeke Sanga, Si aboud Jumbe wala si Mkapa, Kikwete, Mwinyi na Magufuli, Hakuna , nasema tena Hakuna yeyote kati ya hao aliyewai kufanya tukio kama hili la kuwa mstari wa mbele kusimamia unalolianini. Huyu jamaa psmoja na kufanywa mlemavu, anaacha mke nyumbani a nalala nje na kukesha katika kusimamia haki!!!

Ni hakika. Hakuna kama Tundu Antiphas Lissu

I salute you Lissu
 
Chama cha mfu, chama cha mafisadi,chama chakavu kinajuta Sana kumuweka mgombea dhaifu asiyeweza mudu jukwaa, aliyezoea kunyonga na sio kuchinja. Waombe poo kwa tume waweke mtu makini
 
Na hao Maaskofu uchwara huwa wanakandia sana Iddi Amin, lakini naamini ingetokea kwamba wangekuwa wanaishi enzi za Iddi wala wasingekandia hivyo, wangekuwa waimba mapambio wake wazuri mno.

Mwamba pale alikuwa ni Bishop Janan Luwum tu, wengineo wote tupa kule. Na sasa mwamba wa kiroho anataka kubaki Bishop Mwamakula tu, wengine tupa kule. Na nisione kenge anakuja kuniomba sijui zaka + sadaka, labda awe Mwamakula.

Viongozi wa dini wa kweli walioamua kuwa upande wa haki kipindi hiki cha dictator ni askofu Niwemugizi, Sheikh Ponda, Askofu Bagonza, Askofu Mwamakula na askofu Shoo. Hawa wameamua kuwa wazi dhidi ya hujuma. Inawezekana wapo wengi, lakini hawa wameishinda hofu waziwazi.
 
Napita tu nikishangashangaa na utu uzima wangu huu. Sisi tuliozaliwa kipindi cha Nyerere na kukuzwa na maadili yake huwa tunashangaa tu. Sijui vijeba wenzangu chamani kama mnashangazwa kama mimi
 
Back
Top Bottom