Askofu Mwamakula aenda alipozuiliwa Lissu kumtia nguvu



Ni sawa..
 
Tangu nigundue maaskofu wa kanisa langu la RC wanafungamana na upande unaokandamiza wananchi niliacha rasmi kuhudhuria ibada zao za kinafki.
Mkuu toka nijue tabia za Askofu Pengo kama kiongozi mkuu wa Kanisa na Africa. Niliachana na upuuzi wa kupoteza muda na fedha za sadaka. Bora jpili niende kuona wagonjwa hospitali au nikale mkonyonyo kwa mamayeyoo
 
Hehee yule ameshapata adhaby yake anasubiri Moto wa Jehanam kwa kuungana na maajenti wa ibilisi.
Yaan anavyoongea unaona kabsaa sio yeye ila kuna msukumo nyuma yake, kiongozi wa dini unadirikije kusema yule ndiye anayetufaa wakati siasa imekatazwa kwa viongozi wa dini, aacha tumbo liitwe tumbo aisee.
 
Huyo askofu atakuja kuambiwa sio mtanzania ajiangalie.
 
Huyo askofu atakuja kuambiwa sio mtanzania ajiangalie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…