Askofu Mwamakula Asimulia mazito akiwa Jukwaa la Tangayika Law Society

Mtu ambae hajasema mda ule Sasa hivi tunamuita mzushi tu afu tunasonga mbele.

Hakuna badiliko lolote zaidi ya kulamba asali tu. Ambayo waliikosa sana enzi zile.
Kutamka haki tu ilikuwa ni hukumu. Sasa angesemea wapi?
 
Kaitwa lama kiongozi wa dini.Viongozi wa dini hawana mipaka kwenye mambo yanayohusu Raia na waamini wao.

Mkuu wewe ndio una misimamo ya kichama. Yeye anazungumzia mambo yanayohusu Watanzania wote. Haki amani na katiba Mpya. Hayo ta ccm na chadema umeyaandika wewe.
 
Kwahiyo ukiwa mwanasiasa kufanya mauaji mmehalalisha kabisa?
 
Askofu Desmond Tutu
 
Aisee Kumbe baada ya uchaguzi tu hali ilikuwa inatisha sana.
Huyo mchungaji wenu hasipokuja kuangalia atakuja kupitiwa na upinde wa mvua,kama hali ilikuwa ya kutisha mbona yeye hakukimbilia nchi za nje kama wenzake Lema na Lissu?.
Huyu na Zumaridi uchungaji wao unantia mashaka,Mwamakula namwona tu kama Mchungaji kibwetele aliyefunga kanisa na kuchoma waumini wake ndani zaidi ya 1000 ,kazee hakana Aibu wa huruma kusema uhongo ili kuvuruga Amani ya nchi.
 
Kosa la Mwamakula ni nini mbona una hasira sana.
 
Halafu wanatokea kima humu eti wanamlilia mtu aliyetaka kuua kwa kutamka tu neno haki!!
Wazeee kwani nyie mlikuwa mnaishi Tanzania hipi ambayo JPM alikuwa anawafata huko na kuwatia vyupa,Mbona sisi hatujawai kuona hizo tuhuma zenu JPM anakufa watu wanamlilia kumuaga mpka WANAVUNJA UZIO WA UWANJA WA NDEGE?
 
Kosa la Mwamakula ni nini mbona una hasira sana.
Mwamakula kosa lake ni msomi,anajiita mwanaharakati na pia anajitambulisha kama mtu wa Mungu ila kazee kana roho chafu sana.....Mchungaji yeyote ata ukimkosea anasamehe na kuanza upya mana maandiko ya bibilia ndivyo yanavyosema na kutaka.
kenyewe kwanini kanaeneza chuki,na je kanatumia Bibilia Gani kufundisha habari za ufalme wa Mungu?
 
Kwani amekwambia hajasamehe? Kama mtumishi wa Mungu anahubiri machafu ya waumini wake. Wayaache waombe toba😅
 
Huyu Askofu wa CHADEMA angeacha kabisa uchungaji na kuhamia kabisa kwenye siasa. Kupanda kwenye majukwaa ya kisiasa ukiwa kofia ya kiongozi wa kidini ni upuuzi mtupu. Anaweza kuwa na hoja ila analeta tu confusion. Ukimbana anajitetea yeye ni askofu.
 
lkn pia waumini wake wanamisimamo tofauti ya kisiasa,wapo wanaccm,wanachadema,na wasio na chama,lkn yeye anawalisha tu upumbavu wake na chuki zake na jpm.
Kanisa lenye waumini ni la Moravian alilojitenga nalo akaanzisha kikanisa anachozunguka nacho kwenye mfuko wa kanzu. Waumini alionao labda mkewe na watoto wao.
 
Huyu Askofu wa CHADEMA angeacha kabisa uchungaji na kuhamia kabisa kwenye siasa. Kupanda kwenye majukwaa ya kisiasa ukiwa kofia ya kiongozi wa kidini ni upuuzi mtupu. Anaweza kuwa na hoja ila analeta tu confusion. Ukimbana anajitetea yeye ni askofu.
Askofu Gwajima, Lwakatare na Shekh Alhadi sio viongozi wa dini?
 
Kanisa lenye waumini ni la Moravian alilojitenga nalo akaanzisha kikanisa anachozunguka nacho kwenye mfuko wa kanzu. Waumini alionao labda mkewe na watoto wao.
Kosa la Mwamakula ni nini hasa? Mbona mnaruka hoja yake mnahamia kwingine?
 

Siku nyingine kabla ya kutuma hizo mada, jifunze kutumia na maana ya neno "MAZITO".
 
Mtanisamehe sana I must confess

Kipindi cha nyuma hadi kufikia awamu ya tano nilikuwa namuona huyu askofu ni nuksi mbaya.

Niliongozwa na propaganda za kinazi na zilizokosa utu za CCM.

Lakini nilipoanza kumfuatilia anachokisimamia nimegundua aksofu ana upeo mkubwa sana na anaona mbali sana ndo maana walimfanyia figisu kumtenga na kanisa lake.


Mazungumzo aliyoongea hapo yameuchoma sana moyo wangu
 
Wewe ni mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…