Askofu Mwamakula Asimulia mazito akiwa Jukwaa la Tangayika Law Society

Cc: Mtimawachi
 
Mazungumzo aliyoongea hapo yameuchoma sana moyo wangu
Mkuu mimi sikupata usingizi kwa mud wa masaa kadhaa baada ya kusikiliza hii hotuba.

Kumbe mkuu na wewe ulikuwa mnazi?
 
CC
Oxpower
 
CC
KimpaGhasha
 
CC
MISULI
 
Mkuu mimi sikupata usingizi kwa mud wa masaa kadhaa baada ya kusikiliza hii hotuba.

Kumbe mkuu na wewe ulikuwa mnazi?
Bahati nzuri JF huwa hawafuti nyuzi. Fuatikia nyuzi zangu miaka kuanzia 2020 kurudi 2014 utathibitisha nisemayo.

Nimechukia sana kuona kuwa kumbe CCM ni zaidi ya wahuni. Tulilishwa upuuzi mwingi sana. Ndo maana nasema kuwa pamoja na kutetea utu wa JPM lakini eneo la haki za binadamu na demokrasia nampa alama sifuri.
 
Mtu asiyesimama kwenye Haki na Demokrasia hana utu. Maana utu uko humo. Utamsikia kwa maneno ya nje akijifanya mtu lakini mafichoni sio kabisa
 
CC
TikTok2021
 
Mtu asiyesimama kwenye Haki na Demokrasia hana utu. Maana utu uko humo. Utamsikia kwa maneno ya nje akijifanya mtu lakini mafichoni sio kabisa
Nimejifunza upendo katikati ya chuki.

Ninamaanisha kuwa anayefanya unyama hastahili unyama.kama.malipo.
Najiuliza wale wanaotumwa kuua watu wasio na hatia. Huwa wanawaza kuwa wao wataishi milele?
 
Nimejifunza upendo katikati ya chuki.

Ninamaanisha kuwa anayefanya unyama hastahili unyama.kama.malipo.
Najiuliza wale wanaotumwa kuua watu wasio na hatia. Huwa wanawaza kuwa wao wataishi milele?
Wale wanaotumwa wamefundishwa hivyo na wameshabadilishwa mind set zao.

Kuna mada tuliwahi soma humu inaitwa Hypinotization methods zinazotumika kuwatengeneza watu kama hao. Kila kitabu sikumbuki jina kuna mdau alipost humu. Ukikisoma kinatisha. Wanafundishwa ku act kama wanyama. Ubinadamu ndani mwao unakufa. Na ni slow process wanakuwa trained hatua kwa hatua mpaka wanakua watu bora kabisa kwenye eneo hilo.
 
Asante sana kwa mrejesho huu.
Hii ndiyo maana halisi ya uwepo wa watu wa aina yako humu JF

Mara nyingi tunasombwa na matukio ya muda uliopo, yakishapita tunasahau kabisa kila kitu.
Hili ni tatizo mojawapo katika matatizo yetu mengi.
 
Umejichanganya kwa majibu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…