Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Ndio mana mkewe kama mnakumbuka hakutaka kabisa huyu marehemu awe rais, sababu anajua utawala wake wa home, basi tu wakamlazimisha awe anaonekana kwenye kampeni zake.Mtu asiyesimama kwenye Haki na Demokrasia hana utu. Maana utu uko humo. Utamsikia kwa maneno ya nje akijifanya mtu lakini mafichoni sio kabisa
Itakuwa vyema sana zote mbili zikiwekwa sambamba.Ngoja nitaitafuta iko youtube?
Yeye ndio alipaswa kulala kwa wizi aliokuwa anaendesha kwenye wizara alizoongoza.Wanalala watuhumiwa wa Uhalifu!
Kulala selo saa 30 ndio zito?
EeenHeeee!Magu aliwahi kulala masaa hata matano ili tujue sio jambo kubwa?
Mimi shamaliz kama unazo Mb unanisahidia kujibu baadae.Umejichanganya kwa majibu yako.
MnoHatari sana...
Haya unayosema ukiitwa utayatolea ushahidi?Uliza Arusha maandamano ya CDM polisi waliuwa na kujeruhi wangapi mchana kweupe enzi za JK. Day light seuse huyo Akwilina accident.
Mbona video zipo YouTube unataka nikuletee moja moja.Haya unayosema ukiitwa utayatolea ushahidi?
Haya unayosema ukiitwa utayatolea ushahidi?
Thatโs is the reality in TanzaniaWakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka...
๐ ๐Mbona video zipo YouTube unataka nikuletee moja moja.
Angalia kwanza hiyo ya CDM walivyotolewa kwenye kikao cha madiwani kitemi na polisi; anavyolia amruhusiwi.
Sawa bwana mayor. Hayo yameshapitwa na Wakati chini ya Rais Dr Samia.
Huyo hapo Sheikh Ponda chali baada ya ku survive assassination attempt Morogoro.
It must be said JK alikuwa mpole mno wakawa wanamjaribu kupitiliza, ila vyombo vya ulinzi vili deal nao hasa.
Wanapiga tu kelele sasa hivi tofauti ya JK alikuwa mpole, vyombo vya ulinzi vilikuwa wakiona wamezidi wanaingia wenyewe.๐ ๐
Nasikia wakati wako pale oyster bay alimwambia mama usiku mzima abebe mchanga jirani aliniambia sikuamini lakini walivyokuja kumuuliza kama wanataka mumewe awe raisi aliwauliza hivi huyu mtu mnanfahamu nyinyi hili ni swali gumu sana kutoka kwa mke kuuliza kuhusu mumewe lakini hakuna alietafakari na matokeo ndio majuto ni mjukuuNdio mana mkewe kama mnakumbuka hakutaka kabisa huyu marehemu awe rais, sababu anajua utawala wake wa home, basi tu wakamlazimisha awe anaonekana kwenye kampeni zake.
We jamaa muongo sana. Unataka kuwafanya wana JF ni wajinga? Kapumzike kama umechoka.Wanapiga tu kelele sasa hivi tofauti ya JK alikuwa mpole, vyombo vya ulinzi vilikuwa wakiona wamezidi wanaingia wenyewe.
Afadhali huyo Magufuli alikuwa anawapiga biti kuondoa shari na polisi.