Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Let’s hope soSawa bwana mayor. Hayo yameshapitwa na Wakati chini ya Rais Dr Samia.
Ujio wa Magufuli umekuwa funzo kwa Watanzania wote hata vyombo vyenyewe vya usalama
Au basiKulala selo saa 30 ndio zito?
Nikuletee ya bomu la Soweto, Arusha (ila hilo CDM walijipiga wenyewe) ili wailaumu serikali.We jamaa muongo sana. Unataka kuwafanya wana JF ni wajinga? Kapumzike kama umechoka.
Sikia ukigundua mtu hamnazo usimjibu wewe mjibuji utaonekana ndo hamnazoKaitwa lama kiongozi wa dini.Viongozi wa dini hawana mipaka kwenye mambo yanayohusu Raia na waamini wao.
Mkuu wewe ndio una misimamo ya kichama. Yeye anazungumzia mambo yanayohusu Watanzania wote. Haki amani na katiba Mpya. Hayo ta ccm na chadema umeyaandika wewe.
Dah!... zilikuwa enzi za giza kabisa....sikiliza hotuba ya Sheikh Ponda mbele ya TLS.
..unaweza kulia kutokana na aliyoyaeleza.
..kuna mpaka matukio ya askari kuzuia mawakili wa mtuhumiwa kuingia mahakamani.
..Halafu Hakimu akaendelea kusikiliza kesi huku akijua mawakili wa mtuhumiwa wamezuiliwa kumuwakilisha mteja.
Katiba ni siasa? Hata akiongelea ya kisiasa, ni wapi viongozi wa dini walitengwa na siasa?Huyu mzee ni moja kati ya viongozi wa kidini wapumbavu,na ameitwa pale huku wakijua atakwenda kuropoka nn,na kwa taarifa yako,watu kama hao ndio wanatakiwa na utawala wa awamu ya sita,
Wewe jiuluze,ameitwa pale kama wakili au kama askofu?,je ni mwanachama wa TLS?, ili kujua kuwa ni mpumbavu,yeye ni kiongozi wa kidini,lkn anayoongea ni ya kisiasa tupu!, huo ni upumbavu,lkn pia waumini wake wanamisimamo tofauti ya kisiasa,wapo wanaccm,wanachadema,na wasio na chama,lkn yeye anawalisha tu upumbavu wake na chuki zake na jpm.
Asante sana kwa mrejesho huu.
Hii ndiyo maana halisi ya uwepo wa watu wa aina yako humu JF
Mara nyingi tunasombwa na matukio ya muda uliopo, yakishapita tunasahau kabisa kila kitu.
Hili ni tatizo mojawapo katika matatizo yetu mengi.
They have their theme park in hellWale wanaotumwa wamefundishwa hivyo na wameshabadilishwa mind set zao.
Kuna mada tuliwahi soma humu inaitwa Hypinotization methods zinazotumika kuwatengeneza watu kama hao. Kila kitabu sikumbuki jina kuna mdau alipost humu. Ukikisoma kinatisha. Wanafundishwa ku act kama wanyama. Ubinadamu ndani mwao unakufa. Na ni slow process wanakuwa trained hatua kwa hatua mpaka wanakua watu bora kabisa kwenye eneo hilo.
Nipo sana nawe bega kwa bega kuhusu hayo mkuu...mimi uonevu na serikali kutoku-deliver ni mambo ambayo nimeshindwa kuyazoea na zaidi nimeyakataa.
..kuna wachangiaji sijui ni kwa makusudi, au kwa kutokujua, wanatoa maoni yenye kuashiria kwamba kuna sehemu ya Watz inastahili kuonewa au kutokutendewa haki.
..natamani Watz wote tuwe na haki sawa. Natamani wote tuwe na fursa sawa za kujiendeleza.
..Nachukia baadhi ya Watz kujiona wana thamani kuliko wengine. Nachukia baadhi kujiona wao ndio NCHI na wana haki ya kufanya lolote kwa wale wenye mitizamo tofauti.
Halafu utakuta Kuna Simblisi inataka mtu afanyiwe kumbukiziAisee Kumbe baada ya uchaguzi tu hali ilikuwa inatisha sana.
Maandishi yako yote, na lugha uliyoitumia, vinaashiria tatizo kubwa akilini na moyoni mwako. Una kazi kubwa ya kufanya ili uwe binadamu wa kawaida.Huyu mzee ni moja kati ya viongozi wa kidini wapumbavu,na ameitwa pale huku wakijua atakwenda kuropoka nn,na kwa taarifa yako,watu kama hao ndio wanatakiwa na utawala wa awamu ya sita,
Wewe jiuluze,ameitwa pale kama wakili au kama askofu?,je ni mwanachama wa TLS?, ili kujua kuwa ni mpumbavu,yeye ni kiongozi wa kidini,lkn anayoongea ni ya kisiasa tupu!, huo ni upumbavu,lkn pia waumini wake wanamisimamo tofauti ya kisiasa,wapo wanaccm,wanachadema,na wasio na chama,lkn yeye anawalisha tu upumbavu wake na chuki zake na jpm.
Bahati mbaya sana tatizo hili lipo kwenye jamii. Lipo kwa watawala, na upande wa opposition.Kuna watu wanaamini kabisa, kujirimbikizia wao na kujenga kundi maalum la kujinufaisha ndiyo maendeleo ya nchi, bila kujali mali wanazojirimbikizia zinapatikana kihalali au kiharamu.
Ongelea hoja yake. Jitahidi, ombe hekima maana unaonekana umepungukiwa.Huyu Askofu wa CHADEMA angeacha kabisa uchungaji na kuhamia kabisa kwenye siasa. Kupanda kwenye majukwaa ya kisiasa ukiwa kofia ya kiongozi wa kidini ni upuuzi mtupu. Anaweza kuwa na hoja ila analeta tu confusion. Ukimbana anajitetea yeye ni askofu.
Sasa tatizo limejipambanua zaidi. Vurugu alizozianzisha Magufuli na kuziacha, na hizi nyingine zinazoingizwa na mrithi wake, na kuzoa upinzani; hali imekuwa wazi zaidi.Bahati mbaya sana tatizo hili lipo kwenye jamii. Lipo kwa watawala, na upande wa opposition.
Siyo kweliWanalala watuhumiwa wa Uhalifu!
Andiko lililotulia vizuri sana.Jambo moja kubwa aliloongea askofu, ambao ni ukweli mtupu:
Nchi hii, wasomi, wakiwemo wanasheria, ndio watu waoga kuliko wengine wote. Wengine hawajaishia tu kwenye uwoga, bali wamegeuka kuwa wanafiki wakubwa.
Jingine, tufahamu kuwa, hata katika ubaya, kunaweza kuchipua mema. Yaliyotokea awamu ya 5, yachukuliwe positively. Yanatuonesha mapungufu yaliyopo kwenye mifumo yetu ya kiutawala. Sasa tuzipe hayo mapungufu. Pa kuanzia, ni katiba mpya.
Kama awamu ya 6 kweli ina dhamira njema na Watanzania, na Taifa hili, basi iende haraka, tena haraka sana kwenye taratibu za kupata katiba mpya nzuri. Vinginevyo, yote yanayofanyika itakuwa ni cosmetics, kama Askofu alivyotamka.
Wale manabii wa kale hawakuwa na vyama. Hawakuwa wafuasi wa chama chochote. Ulishawahi kuona Askofu Mwamakula akimtetea yeyote aliye kinyume na itikadi ya CHADEMA? Wewe jitahidi kuwa na akili za kuwajua wachungaji wa kweli na wachungaji wanasiasa. Mbona kina Kakobe wasilaumiwe?Ongelea hoja yake. Jitahidi, ombe hekima maana unaonekana umepungukiwa.
Tangu zama za kale, manabii wa Mungu walisimama katika ukweli, wengine waliwapa maonyo makali wafalme hata kuhatarisha maisha yao.
Ni dhana dhaifu sana kusema kuwa eti mtumishi wa Mungu hatakiwi kuongelea haki, amani au kukemea maovu.
Haki ndio inakupa chakula?Halafu wanatokea kima humu eti wanamlilia mtu aliyetaka kuua kwa kutamka tu neno haki!!
Ndo umesikia hilo tu..?Kulala selo saa 30 ndio zito?