Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

Badala ya kuomba Mungu atuokoe na janga la Corona unataka tumuombee Mbowe? Acha mahakama itaamua,maana hao nao ni watumishi wa Mungu.
Maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu.
Unasoma karatasi za kuchambia si biblia.
 
Nitapiga tahajudi yangu saa Tisa usiku
 
Mwambie huyo mama wa kambo atokee akae mbele kupambana na hao wanaoogopa kuandamana, ili tuone anavyoogopeka.

Hivi choko ushawahi kuandamana hata siku moja? Unaweza hata kurusha jiwe kweli wewe?
 
Inauma? Chomoa tu mkuu...tutachomeka ukipaka mate
 
Hivi choko ushawahi kuandamana hata siku moja? Unaweza hata kurusha jiwe kweli wewe?

Hapana shoga, sijawahi kuandamana, na siwezi kurusha hata jiwe. Ila bora mimi kuliko ww ukipigwa hata na mto unalia.
 
😂😂😂haya maombi ayatofautiani na ya sheikh Kishki kumuomba Yarabi amtoe roho afande Sele lakini mpka leo jamaa anadunda tu.
Wewe ni zwazwazwa niin ? Unapoomba ukae ukielewa kuwa kujibiwa nako kunahitaji kuombewa vilevile,hao wanaoomba nimewachunguza hawaombi dua waliyoomba ikubaliwe zaidi ya kuitikia Amein ,Amina haijulikani ni kike au kiume,
Kwa Taarifa yenu unapoomba dua kwa unaemuomba basi pia uombe hio dua ulioiomba nayo ikubaliwe(Aikubali), itakuwa umefunga kazi na vilevile mabli ya maombi yote uliyoomba unaemuomba nae anahiari yake au mahesabu yake. Pengine aweke dua yako kwenye waiting list ili akupime na wewe muombaji ka unaweza kusubiri.
Dua ni kitu kizito sana usifananishe na maombi ya kazi unajibiwa papo kwa papo ipo au haipo.
 
hivi huyo askofu ni wa kanisa gani, manake hata anglican hawamtambui, ni watu waliojitenga hata na anglican, na wewe kumwita kwako askofu usifikiri sisi wengine ni askofu kwetu, wengine tunamwona mhuni tu.
 
Maombi hasi hayo,
Hakuna ombi la mwamakula lililowahi kuwa positive ,
Anazidiwa na mwamposa
 
hivi huyo askofu ni wa kanisa gani, manake hata anglican hawamtambui, ni watu waliojitenga hata na anglican, na wewe kumwita kwako askofu usifikiri sisi wengine ni askofu kwetu, wengine tunamwona mhuni tu.
Kama ni mhuni tu, tusubiri tuone matokeo yake
 
hivi huyo askofu ni wa kanisa gani, manake hata anglican hawamtambui, ni watu waliojitenga hata na anglican, na wewe kumwita kwako askofu usifikiri sisi wengine ni askofu kwetu, wengine tunamwona mhuni tu.

Hata ww hao maaskofu unaowatambua hawafahimiki na kila mtu. Kama ni kujitenga na hiyo anglican, sio tatizo maana hata Lutheran ilijitenga na RC.
 
Endeleeni KUJIFAJIRI.....
Soon tutaanza kuimba Nyimbo,akifunga kampeni alimuomba Mungu awaaaibishe wote watakaovuruga uchaguzi mkuu Mungu akajibu maombi yake.
Watu dhalimu huwa ni kuwashtakia kwa Mola
 
Sawa.
Tunachojua sisi ni kwamba maombi ya kina Askofu Mwamakula "yalimrestisha ini pisi" mtu tarehe 17 March 2021.
 
Soon tutaanza kuimba Nyimbo,akifunga kampeni alimuomba Mungu awaaaibishe wote watakaovuruga uchaguzi mkuu Mungu akajibu maombi.
ifike kipindi, kama vile shehe ponda anavyoweza kupelekwa ndani, huyu askofu uchwara anayetoka kanisa linalosapoti ushoga, awekwe ndani na yeye. serikali ikiendelea kumwacha hivihivi anaona kama inamuogopa, pamoja na kwamba anatafuta attention.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…