Wale waliuwa magaidi, magaidi ni hatari kwa muislamu hatari kwa Mkristo gaidi hana dini.Mrusi kawapelekea Sana kuzimu magaidi.Ingekuwa dua na maombi yanajibiwa kwa binadamu kutaka basi GEORGE BUSH na OBAMA wangeshakuwa kaburini ama machizi....Wakristo na waislam wa Iraq na Syria WAMEOMBA SANA.....
#KaziIendelee
kwani kufunga na kuomba ni kuvuruga amani?Mungu anataka UTULIVU NA AMANI za nchi.
Labda amemuomba Mungu asiyeumba ulimwengu huu.
#KaziIendelee
Waache waombe dua, kuomba dua siyo kosa la jinai.ifike mahali wachungaji na maaskofu pia wajue kuwa kuna serikali wanayotakiwa kuiheshimu, wasivimbe sana migongo kujiona ni untouchables.
Haizui hasira za Munguifike kipindi, kama vile shehe ponda anavyoweza kupelekwa ndani, huyu askofu uchwara anayetoka kanisa linalosapoti ushoga, awekwe ndani na yeye. serikali ikiendelea kumwacha hivihivi anaona kama inamuogopa, pamoja na kwamba anatafuta attention.
Tuache kukurupuka kukosoa watawala. Hapa mie naona kuna umbumbumbuView attachment 1870225
Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii
1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi
7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.
Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
Acha watu waombe, maombi siyo kuvunja sheriaTuache kukurupuka kukosoa watawala. Hapa mie naona kuna umbumbumbu
It goes without saying...uliongea na Mungu akakuambia maombi yao ndio yalijibiwa?
Hawajui Mungu si AthumaniHivi hao Masheikh na maaskofu nani aliye waambia kwamba mtu kuondolewa roho na Mola wake ni adhabu?