Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Weka hili akilini. Duniani tunaishi kwa hisani ya Ukristo. Mkristo anaheshimu imani za watu haijalishi ni ya namna gani.
Duniani kungekuwa kuna waislamu wengi kuliko wakristo. Waarabu wangeanzisha sharia na mtu yoyote angekataa kuwa muislsmu angeuwawa au kutengwa.
Nchi za wafrika weusi wangebaki kuwa watumwa na misikiti na visima vya kujitawazia vingekuwa vingi sana.
Zanzibar kuna waislam wengi lkn hakuna maendeleo, nenda sehemu zenye waislam wengi Zanzibar, Lindi, Mtwara, Tanga, Singida na Pwani.
Walichofanya DP hata ingekuwa ndiyo Roman Catholic ndiyo imechukua bandari wangeona aibu sana kujenga kanisa.
Nenda Mang'ora kijijini kuna kanisa kubwa la Roman catholic na hospita ila pembeni hatua chache kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Muarabu ni mtu wa ovyo sana
 
Anaenda kuswali na kujitawaza anatoka. Hapo anakuzidi nini?
Hapo ni kuwa makini tu ili wasianzishe vikundi vya kigaidi (islamic state)
 
Katika kosa la kiufundi alilolifanya ni hili la Leo,watu wengi wataanza kumdharau,na waislamu ambbao walikuwa wanamuunga mkono kwenye ishu ya bandari ndo keshswakosa hivyo
Kwahiyo waislamu wataacha kupinga ishu ya bandari kwa sababu wanajengewa misikiti?
 
Wajuaji wa duniani Wanasemaga Divide them and rule !! Tayari malumbano ya Bandari yamesha watawanya watu πŸ˜…πŸ˜… sasa ni malumbano ya dini gani ni afadhali kuliko nyingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™
 
Hawa ndugu zetu bado wanaujinga mwingi sana. Nenda Singida kuna misikiti mikubwa na mizuri iliyojengwa kwa hela nyingi ila hakuna hata hospital au shule iliyojengwa karibu misikiti hiyo. Hii nafasi wangeitumia kujenga hospital, ingesaidia hata kupunguza ajira na kuinua vipato vya wananchi
N.B
Nia yao wajenge misikiti mingi kwa lengo watu waslimu halafu matokeo yake waanzishe vikundi vya kigaidi ili waanzishe dola la kiislamu.
 
Wapi kwenye Wakristo wengi kwenye Maendeleo?
 
Kukaribisha DPw mimi naona ni kukaribidha balaa nchini. Kwa masharti yale lazima watapandikiza mgogoro wa kidini. Tuwaepuke hawa watu. Hebu fikiri, kwa nini mashariki ya DRC migogoro haiishi. Mojawapo ya wachangiaji ni ADF. Hawa wameua watu sana tena kikatili kuwakata na mapanga na shoka kwa lengo la kueneza uislaam huko. Wanatumia njia mbaya wala haina matokeo yoyote ila mateso na uuaji tu kwa wakazi wa huko. Huwezi eneza dini yoyote kwa nguvu. Huko afrika ya magharibi hakuna utulivu ni mauaji tu. Si mali, burkina faso, tchad, sudan na sasa fujo zinaingia niger ni fujo na mauaji kwa dhana eti dini inaenezwa.
Watanzania tunaishi kwa amani miaka yote. Tusikaribishe wenye kutaka kutugawa kwa kisingizio cha dini huku nia yao kuu ni kutuibia mali na kutunyonya utajiri wa nchi yetu
 
Kweli kabisa watu wengi hawajui waarabu walifanya ukatili mkubwa kuliko hata wazungu.
Pia kuna upotoshaji wa tafsiri ili kuficha madudu yao.
 
Hao majesuit au rotary hawatuibii, usilete makasiriko hapa, kama unaona misaada sifa, kaombe kwa wasafi wasio na uchafu.
Nani kakwambia hawatuibii hawa viongozi wa makanisa? Unajua serikali kila mwaka inapeleka grants bilioni ngapi kwenye hospitali za makanisa kulingana na MoU iliyopitishwa na nyerere tena hospitaliza walutheri na wakatoliki zote serikali inapeleka fedha sipati picha ingekuwa ni kwa waislamu ? Mambo mengine wakristo wezangu tukae kimya tu siyo ya kuzungumza hadharani tutaaibika.
 
Ile kampuni haikupewa tenda yoyote, hawakuwa na maslahi na serikali.
 

Na "christian fanatics" wa bongo walijua kuwa Gaddafi ni moja wa watu waliokuwa wakipanga kuueneza uislamu kwa hali na mali Afrika yote, na hawakupiga kelele kwa yeye kusaidia kujenga misikiti au kusaidia waislamu.

Zipo taasisi nyingi zinasaidia kuueneza uislamu,lakini si kwa gharama ya Watanzania wote.

Zipo taasisi ambazo zinasaidia kuueneza ukristo,lakini si kwa gharama ya Watanzania wote.

Wamisioni walijenga shule na hospitali,vituo vya afya,lakini havikuwalazimisha wasio wakristo kubadili dini. Vimekuwa vinahudumia watu wa dini zote bila ubaguzi.

Si sahihi kwa kampuni/shirika/taasisi inayopata fedha kutoka kwa Watanzania wote (dini,madhehebu,makabila mbalimbali) kutumia sehemu ya fedha wapatazo kufadhili upande mmoja tu.
 
Hizo pesa hupelekwa kwenye hospitali zote kubwa bila kujali dini.
 
Hili ni jambo jema kabosa. Ndo maana wanabodi huwa mi nawaambia kuwa hawa DP WORLD ni watu wa kheri kabisa. Bado namlaumu sana madam President kwa nini anachelewesha kuwapa bandari hawa ndugu zetu ili walete neema?
 
Kwa hiyo wewe ulikuwa na maumivu makali sana juu ya mkataba bila kujua makosa ya huo mkataba!!??
 
- Hakuna dini nzuri duniani. Zote zina mapungufu
Kinachosikitisha ni kwamba yaani waislamu hawana mahitaji mengine zaidi ya msikiti na kisima cha kujitawazia?
  • Kibaya zaidi kampuni kubwa kama ile wameona watu wana mahitaji ya msikiti na kisima cha kujitawazia?
  • Watu wanahofu na kuwa huu ni mkataba wa mchongo wa kuiba mali tu. Kama unajengewa msikiti na kusima cha kujitawazia. Mahitaji ni hayo tu?
Hata angekuwa Papa anapewa bandari asingefanya jambo la kujenga kanisa tu.
Hii nchi wakipewa waislamu kutakuwa na misikiti mingi sana na visima vya kujitawazia. Ukitaka kwenda hospital inabid uende mbali sana kutafuta huduma.
Pale Mang'ora bila Kanisa Catholic, watu wangekuwa wanaenda mbali sana kutafuta huduma za afya maana pale kuna msikiti na kisima cha kujitawazia tu.
 
Baada ya kutoka kwenye uwekezaji sakata linaenda kwenye udini, Bongo hii kuna watu roho zinawauma saaana wanapoona tunaishi kwa amani, wanatamani kinuke ili wayatimize malengo, ikifika hapa tuu ndo huwa namkubali mjomba Magu na falsafa zake
Walioko madarakani kwa nchi yoyote ile ndio ulikoroga usisingizie watu kutoka nje, ni lini ukaona mwekezaji hata kazi hajaanza anaanza kujenga makanisa? Na kwa vyovyote vile ameongozwa na mwenyeji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…