Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Weka hili akilini. Duniani tunaishi kwa hisani ya Ukristo. Mkristo anaheshimu imani za watu haijalishi ni ya namna gani.Wakiristo kwa ujumla huwa Wana ufikirio na kutaka kuwa Karibu na wenzao wa kiislam; ona Magufuli mpaka alichangisha kanisani kujenga msikiti chamwino, huwa wanavaa mavazi ya kiislam, Vatican iliikubalia Serikali ya italii kukajengwa msikiti maeneo ya Karibu ya Vatican (uliza kama makanisa yanaruhusiwa huko Saudia) huko Pemba tu juzi juzi walikataa Kanisa lisijegwe Pemba.
Yote hii ni kwa sababu Quran inawakataza Waislam kuwa na urafiki na wakiristo na wayahudi.
Duniani kungekuwa kuna waislamu wengi kuliko wakristo. Waarabu wangeanzisha sharia na mtu yoyote angekataa kuwa muislsmu angeuwawa au kutengwa.
Nchi za wafrika weusi wangebaki kuwa watumwa na misikiti na visima vya kujitawazia vingekuwa vingi sana.
Zanzibar kuna waislam wengi lkn hakuna maendeleo, nenda sehemu zenye waislam wengi Zanzibar, Lindi, Mtwara, Tanga, Singida na Pwani.
Walichofanya DP hata ingekuwa ndiyo Roman Catholic ndiyo imechukua bandari wangeona aibu sana kujenga kanisa.
Nenda Mang'ora kijijini kuna kanisa kubwa la Roman catholic na hospita ila pembeni hatua chache kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Muarabu ni mtu wa ovyo sana