Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Askofu anawaongezea majonzi waliopoteza watoto pale Kariakoo kwa kufananisha suala lao na utekaji!.Mimi na wewe wote hatukuwepo watu walipotekwa,Wala hatukuwepo kwenye Jengo kariakoo!
Sishindani na wewe.Ninachosema ni kwamba kama "Askofu" Angekuwa mtu fair kitaasisi asingelitoa lawama na kulinganisha mambo kama hivi!
Kwa nafasi yake anatakiwa kutenda Haki Kila upande!
Hakuna Serikali iliyowekwa Madarakani Ili kuteka watu,Wala hakuna anayefurahia utekaji!
Tukio hili ni AJALI iliyowakuta watu wengi kwa wakati mmoja,watu wamepoteza Mali na UHAI!.Ghafla sana!..Kuna familia zimefiwa mtu zaidi ya mmoja kwa mara Moja!
Askofu anapata wapi audacity ya kuongea haya!
Au askofu tumewaoverrate sana!
Akili duni sana anatumia katika kuweka maoni yake hadharani.