Askofu Mwamakula: Janga la Kariakoo sio kubwa kama La utekaji

Askofu anawaongezea majonzi waliopoteza watoto pale Kariakoo kwa kufananisha suala lao na utekaji!.

Akili duni sana anatumia katika kuweka maoni yake hadharani.
 
Wewe na yeye nani mpuuzi?? Wewe ni mbumbumbu kabisa
 
Hujamuelewa askofu, kasema janga la kariakoo ni kubwa na limechukuliwa kwa uzito wake ila utekaji nalo kubwa lakini halichukuliwi kwa uzito unaotakiwa
 
Unafiki bwana yaani Kuna mtu anaona wanaotekwa wanastahili kutekwa Ila waliokufa kariakoo hawastahili kufa

Binadamu wote ni sawa tuishi kwa kupendana

Kila uhai wa mtu ni haki unatolewa na mwenyezi Mungu pekee sio mwanadamu mwenzie

Next time litandondoka jengo la lumumba na tutasema kifo ni kifo tu!!!

In Samia voice kifo ni kifo tu!!!
 
Umetafakari au umeguswa ndo ukahisi haki yako ya kuandika ndo itazalisha andiko bora ktoka kwako?
 
Ajafiwa huyuu
 
Hujamuelewa askofu, kasema janga la kariakoo ni kubwa na limechukuliwa kwa uzito wake ila utekaji nalo kubwa lakini halichukuliwi kwa uzito unaotakiwa
Kila mtu ana upeo na mwisho wake wa kufikiri.
Mimi nimemuelewa hivyo,usinilazimishe nielewe unavyoelewa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…