ngalakeri
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 1,673
- 1,401
Hoja nzuri sana na sahihiKatiba yeyote iatakayoandikwa Jiwe akiwa madarakani itakuwa Mbaya zaidi kwa ustawi wa nchi kuliko hii ya sasa!!! Tupate TUME HURU KWANZA itakayosimamia Uchaguzi uliokuwa huru na wabunge watakaopatikana ndio washiriki kuunda katiba ya wananchi!!! Penginepo watabaka tena matakwa ya wananchi kutaka katiba yao kama walivyofanya enzi ya Vasco Dagama!!! CCM ya Magufuli sio chama cha siasa bali ni CULT; atakalo yeye ndlo hakuna wa kupinga!!!