Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Hata km ikirekebishwa,bado wataisigina tuRekebisha kwenye "kwenye katiba"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata km ikirekebishwa,bado wataisigina tuRekebisha kwenye "kwenye katiba"?
Utaolewa naye soonMungu mbariki Baba Askofu Mwamakula
Sasa Kama Kuna hiyo nguvu ya mbinguni kwa nini asitumie hiyo anaingia na nguvu ya kibinadamu ya kuandamana? Hana nguvu yeyote ya mbinguni huyo tapeli tuNa ole wake vinavyojiita vyombo vya dola vimguse.... pigo takatifu toka mbinguni linawasubiri!
Askofu badala ahimize watu waokoke ili waache uzinzi, na waende mbinguni sasa amegeuka kudai Katiba mpya. Ee Mungu tuhirumie. Maana wanadamu wameanza kwenda tofauti na maagizo yako. Eeee Mungu ingilia kati.ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA!
Wapendwa Watanzania!
Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mwamakula, anakusudia kuongoza Matembezi ya Hiari ya Raia yasiyopungua umbali wa Kilometa 15 katika Mikoa mbalimbali nchini Tanzania na nje ya nchi. Watu watakaoshiriki Matembezi hayo watatokea kila kona za mji husika hadi sehemu ya kukutania ambapo watu wote watakusanyika kwa ajili ya kufikisha au kutolea ujumbe. Ili kuepusha usumbufu, watu watakuwa wanatembea kimakundi lakini kila kundi halitazidi watu 20 na kama watu watakuwa wengi kutokea njia moja kutakuwa na muachano au umbali wa kilomita moja kati ya kundi na kundi njiani!
Lengo la Matembezi hayo ni kuwahamasisha Watanzania umuhimu wa Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na Kuandika Katiba Mpya kabla ya Mwaka 2025. Kwa mazingira yaliyopo sasa ambapo Bunge la Tanzania limekuwa ni Bunge la Chama kimoja ambacho katika Ilani yake hawana hoja ya Tume Huru na Katiba Mpya, hatuwezi kutegemea mambo hayo kuanzishwa na Bunge hili. Hata hivyo, watu wa makundi yote watahamasishwa kushiriki Matembezi hayo pasipo kujali vyama na itikadi zao.
Kila mkoa au mji utakuwa na Timu ya Uratibu ambayo itasaidia kuratibu na kuandaa Matembezi hayo. Wale watakaopenda kusaidia au kuwezesha Matembezi hayo wataelekezwa kuwasiliana na Timu ya Uratibu ya Kitaifa itakayosaidia Uratibu kwa niaba ya Askofu. Timu hiyo ya Uratibu wa Kitaifa sambamba na Timu za Mikoani zitatangazwa mapema kuanzia Januari 2021 baada ya kuundwa!
Kwa taarifa hii, tunaomba Watanzania wote wajiandae kushiriki Matembezi hayo katika kila Mkoa. Matembezi hayo yataanza mapema mwaka 2021 na tarehe ya kila Mkoa itatangazwa na utaratibu wote. Kuanzia Januari 2021, Askofu atatangaza rasmi utaratibu wa namna ya kushiriki ikiwemo Waratibu wa Matembezi katika kila Mkoa!
Kwa Watanzania walioko nje ya Tanzania, Askofu anaweza kufika katika nchi hizo endapo wataweza kuandaa mazingira.
Kwa sasa Askofu anamuomba kila mtu kusambaza ujumbe huu ili kuwaandaa Watanzania wote kwa matukio hayo ya kihistoria!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askof Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula
Namashuri tu kwanza angeanza na matembezi ya waumini wake ndipo aje ya mji wake kisha nchi nzima.ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA!
Wapendwa Watanzania!
Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mwamakula, anakusudia kuongoza Matembezi ya Hiari ya Raia yasiyopungua umbali wa Kilometa 15 katika Mikoa mbalimbali nchini Tanzania na nje ya nchi. Watu watakaoshiriki Matembezi hayo watatokea kila kona za mji husika hadi sehemu ya kukutania ambapo watu wote watakusanyika kwa ajili ya kufikisha au kutolea ujumbe. Ili kuepusha usumbufu, watu watakuwa wanatembea kimakundi lakini kila kundi halitazidi watu 20 na kama watu watakuwa wengi kutokea njia moja kutakuwa na muachano au umbali wa kilomita moja kati ya kundi na kundi njiani!
Lengo la Matembezi hayo ni kuwahamasisha Watanzania umuhimu wa Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na Kuandika Katiba Mpya kabla ya Mwaka 2025. Kwa mazingira yaliyopo sasa ambapo Bunge la Tanzania limekuwa ni Bunge la Chama kimoja ambacho katika Ilani yake hawana hoja ya Tume Huru na Katiba Mpya, hatuwezi kutegemea mambo hayo kuanzishwa na Bunge hili. Hata hivyo, watu wa makundi yote watahamasishwa kushiriki Matembezi hayo pasipo kujali vyama na itikadi zao.
Kila mkoa au mji utakuwa na Timu ya Uratibu ambayo itasaidia kuratibu na kuandaa Matembezi hayo. Wale watakaopenda kusaidia au kuwezesha Matembezi hayo wataelekezwa kuwasiliana na Timu ya Uratibu ya Kitaifa itakayosaidia Uratibu kwa niaba ya Askofu. Timu hiyo ya Uratibu wa Kitaifa sambamba na Timu za Mikoani zitatangazwa mapema kuanzia Januari 2021 baada ya kuundwa!
Kwa taarifa hii, tunaomba Watanzania wote wajiandae kushiriki Matembezi hayo katika kila Mkoa. Matembezi hayo yataanza mapema mwaka 2021 na tarehe ya kila Mkoa itatangazwa na utaratibu wote. Kuanzia Januari 2021, Askofu atatangaza rasmi utaratibu wa namna ya kushiriki ikiwemo Waratibu wa Matembezi katika kila Mkoa!
Kwa Watanzania walioko nje ya Tanzania, Askofu anaweza kufika katika nchi hizo endapo wataweza kuandaa mazingira.
Kwa sasa Askofu anamuomba kila mtu kusambaza ujumbe huu ili kuwaandaa Watanzania wote kwa matukio hayo ya kihistoria!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askof Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula
Yeye mwenyewe mzinzi atahimiza vipi waache uzinziAskofu badala ahimize watu waokoke ili waache uzinzi, na waende mbinguni sasa amegeuka kudai Katiba mpya. Ee Mungu tuhirumie. Maana wanadamu wameanza kwenda tofauti na maagizo yako. Eeee Mungu ingilia kati.
Hili ndio suala la msingi cha ajabu nyumbu mtajificha kama kawaida yenu huku mkiwa mko kwenye keyboards mnamfuatilia kigogo.Mungu mbariki Baba Askofu Mwamakula
Mungu hawezi mbariki kwa hili jambo analotaka kufanya zaidi ataabika tu. Mungu kamchagua ahubiri afungue makanisa ili watu waokolewe waacha uzinzi, ulevi, n. k mbona sasa anakwenda tofauti na maagizo ya Mungu. Inamaana kazi aliyotumwa kuifanya ameimaliza.Hili ndio suala la msingi cha ajabu nyumbu mtajificha kama kawaida yenu huku mkiwa mko kwenye keyboards mnamfuatilia kigogo.
Askofu ana raha gani kulisha kondoo ambao wapo oppressed? Ni dhambi kwa Mungu kwa watumishi wa Mungu kufumbia macho udhalimu. Askofu huyu hataki kubeba hiyo dhambi.Askofu anapaswa kulisha kondoo maandamano na matembezi sio sehemu ya chakula cha kondoo,imetosha kusema askofu anataka watu wailaumu serikali kwaajili yake na hakuna namna watailaumu tu.
Wengi ni makada wa CCMIlitakiwa viongozi woote wa madhehebu yoote wahamasishe hili suala.
#Sitapiga kura mpaka ipatikane tume huru.