Askofu Mwamakula kuongoza matembezi ya hiyari kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Askofu Mwamakula kuongoza matembezi ya hiyari kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Yesu hakuhamasisha haya kwenye Injili aliyotuletea

Askofu Mwamakula anajua kabisa ni mungu gani anafanyakazi ndani yake.

Asituingize mkenge Watanzania akidhani hatujui nini tunahitaji
 
Baba askofu angemshirikisha Lissu ili ampe maoni yake kuhusu hawa keyboard warriors wahumu jf,fb na insta
 
Huyu askofu sasa kazi ya Mungu imemshinda, anachokitafuta atakipata
 
Jamani hii Huru huru kwani watakaoiandika na wale watakaochaguliwa wanatoka sayari gani kama ni hapa hapa Tanzania wachaguliwe alafu tusubiri tuone
 
Huyu ni wanasiasa. Sio Askofu. Na kama mtu wa aina yake ana hadhi ya uaskofu, maana yuko shallow sana, basi hilo kanisa lazima ni mali yake binafsi. Haiwezekani yeye ndio akawa Kipanga wao 😂😂😂

Ndio maana Catholics will dominate for as long as the world will last
 
Huyo Askofu hatujui vizuri wabongo, sisi ni keyboard warriors hatuna muda wa kufanya maandamano.
 
Hiyo hofu yako ni ya kweli kabisa. Watanzania hatuna uhuru tena wa hata kufanya matembezi ya kudai kile tunachokiona ni haki yetu kukidai kutokana na kutouafiki mwelekeo wa Nchi yetu.
Jambo jema kabisa. Hofu yangu ni jamaa yetu Afande Sirro.
 
Labda sio watanzania ninaowajua mimi, maandamano yaliitishwa tena wakati ambao watanzania walikua na maumivu makali na vidonda vya dhulma iliyofanyika kwenyw uchaguzi mkuu and no body showed up, walibaki wanapiga kelele tu mitandaoni, Mwamakula ana nia njema lakini Watanzania bado hawajawa tayari kujikomboa
 
Binadamu ambae anawaza tume mpya na katiba mpya huwa namuona Ana shida kichwani kwake

Do you think magufuli anaweza kuleta katiba mpya? Ni jambo ambalo halipo

Na Magufuli sio Rais wa kushinikizwa jpm sio jk
 
Bunge la chama kimoja halitakuwa na hoja, mbona wakati wa bunge la vyama mchanganyiko hiyo hoja haikutiliwa maanani? Hoja pekee iliyotiwa uzito ni kususa susa na kukwepa vikao vya bunge.
 
Kwani ana hati miliki ya Tanzania? Tanzania ni yetu sote kama Watanzania wanaojitambua hawaridhiki na yanayojiri Nchini basi wana kila haki ya kudai mabadiliko. Ataua wangapi?

Binadamu ambae anawaza tume mpya na katiba mpya huwa namuona Ana shida kichwani kwake


Do you think magufuli anaweza kuleta katiba mpya? Ni jambo ambalo halipo

Na Magufuli sio Rais wa kushinikizwa jpm sio jk
 
Hiyo siku kama naiona maana watu watakavyo kuwa anahama mtandao mmoja kwenda mwengine anatoka group hili anaingia lile anatoka jukwaa hili anaenda jukwaa lile kila thread yupo.

Hayo ndio maandamano yetu.
 
Askofu anachelewa sana, atakapokuwa tayari mchango wangu wa kifedha na kwa hiari yangu uko tayari muda wowote atakapoona inafaa. Na anaweza kunitumia contact number yake katika inbox yangu.
 
Back
Top Bottom