Hoja nzuri sana na sahihiKatiba yeyote iatakayoandikwa Jiwe akiwa madarakani itakuwa Mbaya zaidi kwa ustawi wa nchi kuliko hii ya sasa!!! Tupate TUME HURU KWANZA itakayosimamia Uchaguzi uliokuwa huru na wabunge watakaopatikana ndio washiriki kuunda katiba ya wananchi!!! Penginepo watabaka tena matakwa ya wananchi kutaka katiba yao kama walivyofanya enzi ya Vasco Dagama!!! CCM ya Magufuli sio chama cha siasa bali ni CULT; atakalo yeye ndlo hakuna wa kupinga!!!
Anayafanya hayo kwa kutumia andiko gani kwenye biblia
Mbona hata tuliyo nayo akina Ndugai na wenzake wanaisigina?.Hili ndilo suala la msingi kabisa! Tena tumechelewa mnoo!
Katiba hii inaruhusu mtu au watu wawe juu ya sheria za nchi. Sababu kuu ni hakuna “accountability”
Kuwa kanisani hakumwondolei haki zake nyingine kama raia wa Tanzania, ikiwamo hii ya kudai katiba.Kazi ya matembezi ya kisiasa yamo kwenye katiba ya kanisa lake? Serikali ifute usajili wa hilo kanisa
AminaMungu mbariki Baba Askofu Mwamakula
Ngoja tujaribu, tuone kama tutafika.Huyu mzee atulie asitafute matatizo na sirikali hauji kama hizo ndiyo silaha kubwa za sirikali kuwachapia wanyonge...
Hata Gaddafi aliwahi kusema hivyoNyie makamanda uchwara mtatoka huko uvunguni mlikojificha ili muungane na hako kaaskofu kenu?
Bandekile Maana yake Wamemuachaaaaaa kutokana na kuwa na tabia Amvayohaiendani nao. Kanisa la Moravian Tanzania walimtenga kutokana na ugombanishi wake Kanisani, Anajiita Askofu lakini hana hadhi ya uaskofu n.k.
Hapo anatafuta Kiki ya kutafuta waumini kwa nguvu ila hana mvuto wala upako
Haina tatizo.Askofu anapaswa kulisha kondoo maandamano na matembezi sio sehemu ya chakula cha kondoo,imetosha kusema askofu anataka watu wailaumu serikali kwaajili yake na hakuna namna watailaumu tu.
Kwani CCM inawatesa na kuwaua watu kwa andiko gani kwenye Biblia?.Anayafanya hayo kwa kutumia andiko gani kwenye biblia
Nasisitiza Polisi wasitukumbushe jeshi lilivo tokana mpaka kufika hapo lilipoUko sawa kabisa polisiccm watakuwa tayari kutumia hata silaha za moto ili kuzuia matembezi hayo kwa maelekezo ya huyo anayejiita mwendawazimu kwani kwake yeye ataona kama ANAPINGWA.
Rekebisha kwenye "kwenye katiba"?Kwani CCM inawatesa na kuwaua watu kwa andiko gani kwenye Biblia?.