Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

Shwari kwa aina ya watu Kama Lisu Mimi naona Samia aende na mpango kazi wake pamoja na washauri wake atakao wateua na kuwaani maana kuna aina ya watu hata uwalambe miguu hawatoacha kukudhihaki kwani ni asili yao.
Kikwete aliyafanya yotee wakamwita dhaifu.
Daah! Nimemiss sana yule bwana maisha yalikua pow sana,
 
Uliona ukifichwa wapi huo ugonjwa? Nyie mlivyokosa huruma kumpandisha jukwaani Lowasa asiyeweza kutembea sawasawa kisa uchu wa madaraka iliwasaidia nini.
Kifo sio kuumbuka, kifo ni ahadi. Na kila mtu ana siku yake

Hata mimi nitakufa na hata wewe unayefurahia wengine kufa utakufa vilevile
Katiba inatamka kuwa anayetaka kupewa mamlaka ya kuwa Rais, lazima awe na Afya njema/bora ili kuweza kuhimili majukumu yake mpaka mwisho.

Ninyi mkajitia ukaidi, mkamuweka mwenye hali mbovu kiafya matokeo yake ndio haya.

Mlisema Ikulu sio mahali pa wagonjwa ilihali ninyi mnampeleka mgonjwa.

Jifunzeni msirudie hili kosa tena.
 
Nimekuuliza mlipotaka aingie Lowasa alikua na afya njema?
 
Kwa hii historia, Magufuli alirisk sana uhai wake kubeba jukumu la kuhudumia wananchi
Ni upendo
Biblia inasema, ''UPENDO'' haubagui ,Jiwe alikuwa ''MBAGUZI'' balaa!
 
Hv huyu ni askofu au mwanasiasa aliye kwenye kivuli cha dini?Muda mwingi anaongelea siasa.sikatai kuwa siasa ni maisha,huyu kazidi kila cku siasa.
 
Lowasa mzima wa Afya hadi dakika hii.

Lowasa na Maguguli ni nani alikuwa mgonjwa?
Angekua mzima wa afya ile 2015 angeshindwa kupanda jukwaani hadi mumbebe?
Mungu aendelee kumjalia uhai huko aliko na amponye na maradhi yake kadri ya mapenzi yake
 
Angekua mzima wa afya ile 2015 angeshindwa kupanda jukwaani hadi mumbebe?
Mungu aendelee kumjalia uhai huko aliko na amponye na maradhi yake kadri ya mapenzi yake
Aliyekuwa mzima wa Afya hadi akapiga pushups jukwaani, yupo wapi kwa sasa?
 
Aliyekuwa mzima wa Afya hadi akapiga pushups jukwaani, yupo wapi kwa sasa?
Wakati wake ndio huo umefika.
Wapo hata wanaoondoka bila kuugua na wapo wanaougua hata miaka30 kitandani na bado wana uhai
 
Back
Top Bottom