Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

Daah! Nimemiss sana yule bwana maisha yalikua pow sana,
 
Katiba inatamka kuwa anayetaka kupewa mamlaka ya kuwa Rais, lazima awe na Afya njema/bora ili kuweza kuhimili majukumu yake mpaka mwisho.

Ninyi mkajitia ukaidi, mkamuweka mwenye hali mbovu kiafya matokeo yake ndio haya.

Mlisema Ikulu sio mahali pa wagonjwa ilihali ninyi mnampeleka mgonjwa.

Jifunzeni msirudie hili kosa tena.
 
Nimekuuliza mlipotaka aingie Lowasa alikua na afya njema?
 
Kwa hii historia, Magufuli alirisk sana uhai wake kubeba jukumu la kuhudumia wananchi
Ni upendo
Biblia inasema, ''UPENDO'' haubagui ,Jiwe alikuwa ''MBAGUZI'' balaa!
 
Hv huyu ni askofu au mwanasiasa aliye kwenye kivuli cha dini?Muda mwingi anaongelea siasa.sikatai kuwa siasa ni maisha,huyu kazidi kila cku siasa.
 
Lowasa mzima wa Afya hadi dakika hii.

Lowasa na Maguguli ni nani alikuwa mgonjwa?
Angekua mzima wa afya ile 2015 angeshindwa kupanda jukwaani hadi mumbebe?
Mungu aendelee kumjalia uhai huko aliko na amponye na maradhi yake kadri ya mapenzi yake
 
Angekua mzima wa afya ile 2015 angeshindwa kupanda jukwaani hadi mumbebe?
Mungu aendelee kumjalia uhai huko aliko na amponye na maradhi yake kadri ya mapenzi yake
Aliyekuwa mzima wa Afya hadi akapiga pushups jukwaani, yupo wapi kwa sasa?
 
Aliyekuwa mzima wa Afya hadi akapiga pushups jukwaani, yupo wapi kwa sasa?
Wakati wake ndio huo umefika.
Wapo hata wanaoondoka bila kuugua na wapo wanaougua hata miaka30 kitandani na bado wana uhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…