Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,910
- 3,024
Kosa lake ni kutaka kuharibu shibe za watuThis is very sad!
Yaani mtu yupo uhamishoni ndani ya nchi yake!!??
Hapana kwa kweli. Hii haikubaliki hata kidogo.
Hivi kosa lake ni nini hasa mpaka watake kumfanyia unyama namna hiyo?
Hapana. Uovu huu lazima ukemewe na watu wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Totally unacceptable.
Kwahiyo Mwamakula kawa msemaji wa Lisu siku hizi?
Unataka ushahidi wa kwenye makaratasi au uwaone wanaomtishia?Ushahidi basi.
Wa vitisho.
Wa maombi ya hifadhi.
Wa kukataliwa kibali.
Kuna kipindi aliwahi kusema kuwa anafuatwa fuatwa na watu ‘wasiojulikana’.Mkuu umebebwa na huli igizo la lisu?
Si ni huyuhuyu wakati wa kampeni alidiriki hata kusema atarusha chopa yake bila kibali maana haogopi chochote?
Kuna kipindi aliwahi kusema kuwa anafuatwa fuatwa na watu ‘wasiojulikana’.
Nikayachukulia poa hayo madai yake.
Muda mrefu haukupita, akashambuliwa.
Siwezi tena kuyapuuza madai ya kutaka kumtoa uhai wake.
Ni jambo la kiutu. Si la kisiasa hata kidogo.
Kuna mambo mengine wala si ya kisiasa kabisa!Ni kweli.
Mpaka ameomba asylum basi amejiridhisha kuwa tishio juu ya maisha yake ni real
Vitisho vya wapambe wa Jiwe juu ya maisha ya Lissu havijawahi kukoma, wanasema wazi kuwa maadam walimkosa mara ya kwanza, safari hii hawatamkosa tena!