Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

Wapiga kura walioporwa haki zao kura zao wanaendelea kumlilia mungu ipo siku kilio chao kitasikika vizuri na mungu kutoa majibu,malipo ni hapa hapa Duniani
Shetani hawezi kumshinda Mungu, shetani keshashindwa kwa kichapo Cha shoga mwizi.
 
Lisu arudi zake nje Akatafute chuo au kazi nje afanye aachane kuzikomboa maiti. Ukimsaidia masikini dhidi ya watawala unahatarisha maisha yako, wote waliotaka kuwakomboa masikini waliuliwa martin luther, lumumba, Ken sarowiwa, tsvangirai, Jesus of Nazareth, Bob Marley, Luck dube, Mkwawa,Haile selasie, mitume 12 wa Jesus,nk.

Masikini waache wapambane na Hali zao kwani wao washazoea kuishi kimasikini masikini kinyonge kinyonge ukisema uwasaidie kwanza wanakuona adui.

Mfano polisi wako radhi kuitetea ccm inayowafanya wazidi kuwa masikini kuliko kumtetea mtu au watu wanaopambania umasikini wao. Hizi ni kanuni za usimsaidie masikini utahatarisha uhai wako
Noted
 
Isijekuwa tu jamaa anatafuta njia ya kuepa kesi zake maana anaona mwisho wake hautakuwa mzuri.

Ila kwa lolote analofanya ahakikishe hataharibu amani ya watanzania wenzake.
 
This is very sad!

Yaani mtu yupo uhamishoni ndani ya nchi yake?

Hapana kwa kweli. Hii haikubaliki hata kidogo.

Hivi kosa lake ni nini hasa mpaka watake kumfanyia unyama namna hiyo?

Hapana. Uovu huu lazima ukemewe na watu wote wenye mapenzi mema na Tanzania.

Totally unacceptable.
Kumbuka huyu ni pandikizi
 
Hizi drama zimeisha, sasa ni wakati wa kazi. Naona watanzania tumemsuprise. Urais siyo kitu cha kukurupikia na kuwa na mihemko ya ajabu.
 
Huyu mtu asilete porojo. Akaonane na kisutu wamalizane ila pia arudishe majibu ya matokeo kwa Robert Armsterdam ,make nae anamchora tu
 
Hizi drama zimeisha, sasa ni wakati wa kazi. Naona watanzania tumemsuprise. Uraisi siyo kitu cha kukurupikia na kuwa na mihemko ya ajabu.
Kuna mataifa yalikua yanaichukulia Tanzania powa wakiwa wanadhani wanatujua kumbe hawarujui kabisaaa.

Kibaya hata vibaraka wao hawatujui sababu walishautupa utanzania na kuutukuza uzungu

John Pombe Joseph Magufuli amejua kutuheshimisha🙏
 
Kesi zake mahakamani vipi? Jamaa aache comedy hakuwa na uwezo wa kumshinda Magufuli hata kama kura zingepigwa kwa makundi maalum. It's high time for learned lawyer Kibatala kumpeleka Kisutu kuendelea na kesi zake sasa. Hivi hivi atakamatwa na kufutiwa dhamana kwa kosa la kuruka dhamana huo ndio ukweli. Alipewa excuse sbb ya kampeni sasa zimeisha anataka nn tena?
 
Huyu mtu asilete porojo. Akaonane na kisutu wamalizane ila pia arudishe majibu ya matokeo kwa Robert Armsterdam ,make nae anamchora tu
Wacha upelelezi ukamilike, kesi zake zote zisikilizwe na watanzania wajue ukweli. Mungu amlinde Tundu hadi apate haki yake na walimpiga risasi wajulikane ili iwe mwanzo wa watanzania na yeye mwenyewe kuijua serikali yao.

Mwakyembe na Magufuli walinusurika vifo lakini hawakuwahi kuwatuhumu wapinzani wala serikali sababu wanaelewa serikali haiwezi fanya upuuzi kama huo
 
Kuna mataifa yalikua yanaichukulia Tanzania powa wakiwa wanadhani wanatujua kumbe hawarujui kabisaaa.

Kibaya hata vibaraka wao hawatujui sababu walishautupa utanzania na kuutukuza uzungu

John Pombe Joseph Magufuli amejua kutuheshimisha🙏
Ni kipigo cha kipanga ampiga mkoloni, naamini ushawahi kukisoma kitabu hiki shule ya msingi. Namshukuru sana Mungu kwa ushindi huu, Robert Amsterdam alikuwa anaiundermine sana Tz, sasa tumemnyosha na kibaraka wake. NEVER EVER MESS UP WITH TZ, TAIFA LA MUNGU HILI. ROBERT AMSTERDAM HAKUJIFUNZA KWENYE CORONA, NAAMINI MATOKEO YA UCHAGUZI HUU UTAKUWA FUNDISHO KWAKE. NAJUA WATAKUWA NA MIKAKATI YA KUSABOTEJI UTAWALA WA AWAMU YA 6, WATAJARIBU LAKINI BAADAE WATASHINDWA.
 
Unaamini kwenye uchaguzi huu vibaraka na wanaowatuma wamepikea message clear bila chenga kutoka kwa umma wa watanzania?
 
Amchukue akae nae kanisani kwake, waendeleze ibada ya neno la mungu,
Hakuna mtu ana shida na Lisu huo ni mpango wa uovu ambao anaendeleza ili harakati zake zitimie za kuchafua nchi.
Ila kwa watanzania kwa hayo anayo fanya ndo yataendeleza chuku kwake zaidi.
Aseme hiyo ni mbinu ya kukimbia kesi zake na wala hakuna mtu ana mfuatilia mbele ya wale walinzi wake wenye majambia.
 
Ni kipigo cha kipanga ampiga mkoloni, naamini ushawahi kukisoma kitabu hiki shule ya msingi. Namshukuru sana Mungu kwa ushindi huu, Robert Amsterdam alikuwa anaiundermine sana Tz, sasa tumemnyosha na kibaraka wake. NEVER EVER MESS UP WITH TZ, TAIFA LA MUNGU HILI. ROBERT AMSTERDAM HAKUJIFUNZA KWENYE CORONA, NAAMINI MATOKEO YA UCHAGUZI HUU UTAKUWA FUNDISHO KWAKE. NAJUA WATAKUWA NA MIKAKATI YA KUSABOTEJI UTAWALA WA AWAMU YA 6, WATAJARIBU LAKINI BAADAE WATASHINDWA.
Mkuu siyo Armsterdam tu kuna ma giant makubwa nyuma hayaamini
 
Back
Top Bottom