Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Shetani hawezi kumshinda Mungu, shetani keshashindwa kwa kichapo Cha shoga mwizi.Wapiga kura walioporwa haki zao kura zao wanaendelea kumlilia mungu ipo siku kilio chao kitasikika vizuri na mungu kutoa majibu,malipo ni hapa hapa Duniani
NotedLisu arudi zake nje Akatafute chuo au kazi nje afanye aachane kuzikomboa maiti. Ukimsaidia masikini dhidi ya watawala unahatarisha maisha yako, wote waliotaka kuwakomboa masikini waliuliwa martin luther, lumumba, Ken sarowiwa, tsvangirai, Jesus of Nazareth, Bob Marley, Luck dube, Mkwawa,Haile selasie, mitume 12 wa Jesus,nk.
Masikini waache wapambane na Hali zao kwani wao washazoea kuishi kimasikini masikini kinyonge kinyonge ukisema uwasaidie kwanza wanakuona adui.
Mfano polisi wako radhi kuitetea ccm inayowafanya wazidi kuwa masikini kuliko kumtetea mtu au watu wanaopambania umasikini wao. Hizi ni kanuni za usimsaidie masikini utahatarisha uhai wako
Mmeibiwa kura na mmenyamaza kimyaLissu akiguswa hata na unyoya safari hii! , tusije kulaumiana huko mbele ya Safari maana maandiko ya Mungu yanasema Kisasi ni haki, Kisasi kitalipwa tu!
Kumbuka huyu ni pandikiziThis is very sad!
Yaani mtu yupo uhamishoni ndani ya nchi yake?
Hapana kwa kweli. Hii haikubaliki hata kidogo.
Hivi kosa lake ni nini hasa mpaka watake kumfanyia unyama namna hiyo?
Hapana. Uovu huu lazima ukemewe na watu wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Totally unacceptable.
Ni mpuuzi sana Huyu mtu
Kuna mataifa yalikua yanaichukulia Tanzania powa wakiwa wanadhani wanatujua kumbe hawarujui kabisaaa.Hizi drama zimeisha, sasa ni wakati wa kazi. Naona watanzania tumemsuprise. Uraisi siyo kitu cha kukurupikia na kuwa na mihemko ya ajabu.
Wacha upelelezi ukamilike, kesi zake zote zisikilizwe na watanzania wajue ukweli. Mungu amlinde Tundu hadi apate haki yake na walimpiga risasi wajulikane ili iwe mwanzo wa watanzania na yeye mwenyewe kuijua serikali yao.Huyu mtu asilete porojo. Akaonane na kisutu wamalizane ila pia arudishe majibu ya matokeo kwa Robert Armsterdam ,make nae anamchora tu
Ni kipigo cha kipanga ampiga mkoloni, naamini ushawahi kukisoma kitabu hiki shule ya msingi. Namshukuru sana Mungu kwa ushindi huu, Robert Amsterdam alikuwa anaiundermine sana Tz, sasa tumemnyosha na kibaraka wake. NEVER EVER MESS UP WITH TZ, TAIFA LA MUNGU HILI. ROBERT AMSTERDAM HAKUJIFUNZA KWENYE CORONA, NAAMINI MATOKEO YA UCHAGUZI HUU UTAKUWA FUNDISHO KWAKE. NAJUA WATAKUWA NA MIKAKATI YA KUSABOTEJI UTAWALA WA AWAMU YA 6, WATAJARIBU LAKINI BAADAE WATASHINDWA.Kuna mataifa yalikua yanaichukulia Tanzania powa wakiwa wanadhani wanatujua kumbe hawarujui kabisaaa.
Kibaya hata vibaraka wao hawatujui sababu walishautupa utanzania na kuutukuza uzungu
John Pombe Joseph Magufuli amejua kutuheshimisha🙏
Nadhani anamsaidia Amsterdam!Kwahiyo Mwamakula kawa msemaji wa Lisu siku hizi?
Unaamini kwenye uchaguzi huu vibaraka na wanaowatuma wamepikea message clear bila chenga kutoka kwa umma wa watanzania?Kuna mataifa yalikua yanaichukulia Tanzania powa wakiwa wanadhani wanatujua kumbe hawarujui kabisaaa.
Kibaya hata vibaraka wao hawatujui sababu walishautupa utanzania na kuutukuza uzungu
John Pombe Joseph Magufuli amejua kutuheshimisha🙏
Mkuu siyo Armsterdam tu kuna ma giant makubwa nyuma hayaaminiNi kipigo cha kipanga ampiga mkoloni, naamini ushawahi kukisoma kitabu hiki shule ya msingi. Namshukuru sana Mungu kwa ushindi huu, Robert Amsterdam alikuwa anaiundermine sana Tz, sasa tumemnyosha na kibaraka wake. NEVER EVER MESS UP WITH TZ, TAIFA LA MUNGU HILI. ROBERT AMSTERDAM HAKUJIFUNZA KWENYE CORONA, NAAMINI MATOKEO YA UCHAGUZI HUU UTAKUWA FUNDISHO KWAKE. NAJUA WATAKUWA NA MIKAKATI YA KUSABOTEJI UTAWALA WA AWAMU YA 6, WATAJARIBU LAKINI BAADAE WATASHINDWA.