Askofu Mwanamapinduzi: Hezekia Wenje ndie alikuwa wakala wa Abdul kumpelekea rushwa Tundu Lissu nyumbani kwake


..Makamu wa Raisi Samia Suluhu alikuwa Kenya kwa tukio la kuapishwa Raisi Kenyatta.

..kidiplomasia ingekuwa ni jambo baya kiongozi wa Tanzania awepo Kenya halafu asiende kumuona Mnadhimu wa kambi ya upinzani aliyeko hospitali kutokana na jaribio la mauaji.

..Kwa hiyo Samia Suluhu alimtembelea Tundu Lissu hospitali sio kwasababu alipenda, bali kulinda heshima ya serikali ya Tanzania.

..Magufuli yeye hakwenda Kenya kipindi hicho ili kukwepa fedheha ya kwenda kumsalimu Tundu Lissu ambaye Magufuli aliamuru auwawe.
 
Hivi kwanini Kuna maaskofu na mapadri wengi sana kwenye hiki Chama?!!!!!
 
Hatari sana
 
Ukweli ndio huu na.
Ukweli ndio huu na umfikie popote alipo kama ni dar au macrame.
 
Mbowe ana kazi kubwa ya kusafisha chama baada ya uchaguzi, moja wapo ni kufukuza hawa maaskofu walionunua nguo za uaskofu kwenye mabalo ya mitumba pale kariakoo..

Mtu wa hovyo kabisa hana akili kichwani alisogezwa karibu na viongozi wakuu wa chadema

Let him prepare for a defamation case, alipe fidia ya mabilioni. He is speaking hearsay, maana Lissu hajataja mtu
 
Duh。。。!
p
 
Bado mwezi zijulikane mbivu vs mbichi.
 
Wewe ndiyo uneunganisha dots sawasawa!
 
Wewe ni chawa mjinga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…