Huyu myaturu mbona sijawahi kumsikia akisema kati ya watu wa kwanza kuja kumtebelea baada ya jaribio la kumuua alikuwa Mama Samia......
Na leo hii kalipwa hela yake yote na Mama bila kwenda mahakamani kuidai....
Na juzi tu hapa aliomba mitandaoni achangiwe hela ya gari mpya na wananchi...
Kwani huyo Abdul sio mwananchi?
Huu ushambenga wake ndio unaitwa Drama Queen
#Mbowe Mwenyekiti.......
..Makamu wa Raisi Samia Suluhu alikuwa Kenya kwa tukio la kuapishwa Raisi Kenyatta.
..kidiplomasia ingekuwa ni jambo baya kiongozi wa Tanzania awepo Kenya halafu asiende kumuona Mnadhimu wa kambi ya upinzani aliyeko hospitali kutokana na jaribio la mauaji.
..Kwa hiyo Samia Suluhu alimtembelea Tundu Lissu hospitali sio kwasababu alipenda, bali kulinda heshima ya serikali ya Tanzania.
..Magufuli yeye hakwenda Kenya kipindi hicho ili kukwepa fedheha ya kwenda kumsalimu Tundu Lissu ambaye Magufuli aliamuru auwawe.