Askofu Mwanamapinduzi: Hezekia Wenje ndie alikuwa wakala wa Abdul kumpelekea rushwa Tundu Lissu nyumbani kwake

Wenje si amesema atagombea u Makamu Mwenyekiti? Na inaelekea kuwa msimamo wake ni kuwa uchaguzi wa haki maana yake ni Lissu ashinde. Hii ni hatari sana maana anaweka mbegu za kukataa matokeo hapo baadae. Kwa kweli sio vizuri.

Amandla...
Hii ilivyo kaa yenyewe, bila ya ufafanuzi juu yake yanaonekana kuwa kama ni maoni yako.
Sikuwa na nia ya "kuto kutendea haki" nilipo eleza hapo kwa sababu ya mkanganyiko unao jidhihirisha hapa.

Kwa ufafanuzi ulio toa, sasa unaeleweka vyema kabisa
Uchawa wa aina ya anao uonyesha huyo mchungaji, hauna tofauti yoyote na huu ulio enea kwa mama. Hawa ni watu wanao jitoa akili kichwani hata wasiwe na fikra za kuchambua chochote.
Haijalishi hawa wana tetea upande gani, wote ni wabovu vilevile. Nakushukuru kwa ufafanuzi.
 
Sasa we kichaa unatema mate kwa kinyaa gani ulichonacho!
Kinyaa cha Tundu Lissu kukubali uhayawani wa kushiriki ulaghai na Samia. Huo siyo "ukichaa", ni thawabu ya kipekee kabisa.
 
Taarifa umeileta usiku sana watu tumelala, Lissu siyo wa kumuamini maana aliwahi kusema hagombei uenyekiti wa chama Leo.

Ila mwamba aliyewahi kusema hatagombea tena na leo 20 years on kama bi mkubwa, angali anataka mitano mingine?
 

Kama Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah:



Chawa kazini.

Cc: imhotep, Erythrocyte, johnthebaptist
 
Wenje si amesema atagombea u Makamu Mwenyekiti? Na inaelekea kuwa msimamo wake ni kuwa uchaguzi wa haki maana yake ni Lissu ashinde. Hii ni hatari sana maana anaweka mbegu za kukataa matokeo hapo baadae. Kwa kweli sio vizuri.

Amandla...

Wasimamia uchaguzi wanapokuwa hivi:





Kutegemea uchaguzi huru na wa haki ni heri ya ngamia kupita kwenye tundu la sindano!

Cc: imhotep
 
Huo mfano si ulihusu matajiri na kuuona ufalme wa Mungu? Sasa hivi watu wa Mungu karibu wote ni mabilionea na wengine wanatuambia kuwa wanaenda holiday mbinguni.

Amandla....

Bahati mbaya sana mfano huu sasa unauhusu uchaguzi chadema almaarufu, wenye kuhusisha kuonja sumu kwa ulimi.
 
Huyu Askofu naye qmekuwa CHAWA wa Lissu. Yeye alikuwepo wakati Abdul anamhonga Lissu?
 
..kwasababu ni chama cha AMANI ndio maana viongozi wa dini / kiroho wako humo.
Jibu la hayawani hili, hakuna Chama Cha amani nchi hii kama TADEA au kile Cha yule Mzee wa Ubwabwa. Acha unafiki wewe!!
 
Hawa wanadaiana badala walipane wameanza wanasagiana kunguni
 
Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama
 
Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…