Pre GE2025 Askofu Mwanamapinduzi: Uonevu wa 2019 na 2020 tuliomba Mungu akaingilia kati, yaliyotokea yakiendelea wakati huu tutamuomba Mungu aingilie

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu jamaa alikuwa mbeba mizigo soko la Tandale, eti leo Askofu, kama kasoma sana, darasa la sita.

Kama anapanga kumuua kiongozi wa nchi, vyombo vya dola viingilie kati
Kwa hiyo vyombo vya dola viingilie kati kwa kumkamata yeye na mshirika wake Mungu wa mbinguni au?
 
Hizi elimu haziwakomboi watu wengi!ama wanapindisha mambo kwa makusudi ili kuhadaa watu!
Huu ujinga alipaswa awasimulie wajukuu zake kama visa vya kuwasaidia kulala mapema! bed time stories!
 
Kumbe wapumbavu pia huzeeka?
 
Huyu Askofu nafikiri ameeleweka vizuri.
 
Kwa hiyo vyombo vya dola viingilie kati kwa kumkamata yeye na mshirika wake Mungu wa mbinguni au?
Kwa mission anayopanga, haihitaji hata kukamatwa, kwa kuwa ataifanya gizani, ni vizuri kukutana naye huko huko gizani
 
Anajiamini sana huenda ni kipepeo mfuatilia mambo yanaendaje upande wa pili. Anawezaje kutamka maneno ya hatari bila kuogopa vyombo vya dola kumnyaka?
 
Huyu jamaa alikuwa mbeba mizigo soko la Tandale, eti leo Askofu, kama kasoma sana, darasa la sita.

Kama anapanga kumuua kiongozi wa nchi, vyombo vya dola viingilie kati
Mungu aingilie kati kabla ya 2025 period.Wewe Malaya wa kisiasa umeelewaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…