Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Pangua wanga pangua pangua kwa jina la IESU.Lisemwalo lipoView attachment 3150258
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pangua wanga pangua pangua kwa jina la IESU.Lisemwalo lipoView attachment 3150258
We jamaa bhana umekuja tena huku kwetu Tz kufanya yako? Ole wako umrekodi rais wetu kwenye heka heka zakoMungu muue yeyote nayemuwaza muda huu
Kwa hiyo vyombo vya dola viingilie kati kwa kumkamata yeye na mshirika wake Mungu wa mbinguni au?Huyu jamaa alikuwa mbeba mizigo soko la Tandale, eti leo Askofu, kama kasoma sana, darasa la sita.
Kama anapanga kumuua kiongozi wa nchi, vyombo vya dola viingilie kati
Kumbe wapumbavu pia huzeeka?Wakuu,
Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi.
=====
View attachment 3150174
"Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati.
"Maaskofu tumeanza kuomba yale yaliyotokea miaka ile yakiendelea tutamuomba Mungu afanye jambo lake. Jambo gani usiniliulize lakini Mungu anapenda watu wake, hapendi dhuluma, dhambi au uovu juu ya nchi.
"Mambo haya wasikiri wapo juu ya binadamu, wameaumbwa na Mungu na kuwekwa tanzania kwa makusudi. Ukijaribu kuwatesa sababu una jeshi, magereza, polisi, wasiyojulikana, Mungu anaweza kufanya jambo la kushangaza na ukajua Mungu yuko juu ya yote." - Askofu Mwanamapinduzi akiwa Singinda kwenye Mkutano wa Lissu
Huyu Askofu nafikiri ameeleweka vizuri.Wakuu,

We jamaa Ole wako umrekodi rais wetu kwenye heka heka zako
Lakini CCM itasimamaWaovu lazima waombewe wafe. Hakuna haja ya kuendelea kukaa na waovu hapa duniani wanaendelea kuwaangamiza raia wasiokuwa na hatia.
Kwa mission anayopanga, haihitaji hata kukamatwa, kwa kuwa ataifanya gizani, ni vizuri kukutana naye huko huko gizaniKwa hiyo vyombo vya dola viingilie kati kwa kumkamata yeye na mshirika wake Mungu wa mbinguni au?
CCM itajifia mkuuLakini CCM itasimama
Kwanza kachelewaBora Mungu aingilie kati mapema kabla ya 2025
Mungu aingilie kati kabla ya 2025 period.Wewe Malaya wa kisiasa umeelewaje?Huyu jamaa alikuwa mbeba mizigo soko la Tandale, eti leo Askofu, kama kasoma sana, darasa la sita.
Kama anapanga kumuua kiongozi wa nchi, vyombo vya dola viingilie kati
Wewe umeelewaje?Anajiamini sana huenda ni kipepeo mfuatilia mambo yanaendaje upande wa pili. Anawezaje kutamka maneno ya hatari bila kuogopa vyombo vya dola kumnyaka?
Uko period?Mungu aingilie kati kabla ya 2025 period.Wewe Malaya wa kisiasa umeelewaje?
kwamba mungu kaingilia kati?Naona tunaanza kuandaliwa