Pre GE2025 Askofu Mwanamapinduzi: Uonevu wa 2019 na 2020 tuliomba Mungu akaingilia kati, yaliyotokea yakiendelea wakati huu tutamuomba Mungu aingilie

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu jamaa alikuwa mbeba mizigo soko la Tandale, eti leo Askofu, kama kasoma sana, darasa la sita.

Kama anapanga kumuua kiongozi wa nchi, vyombo vya dola viingilie kati
Kwa hiyo vyombo vya dola viingilie kati kwa kumkamata yeye na mshirika wake Mungu wa mbinguni au?
 
Hizi elimu haziwakomboi watu wengi!ama wanapindisha mambo kwa makusudi ili kuhadaa watu!
Huu ujinga alipaswa awasimulie wajukuu zake kama visa vya kuwasaidia kulala mapema! bed time stories!
 
Wakuu,

Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi.

=====

View attachment 3150174

"Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati.

"Maaskofu tumeanza kuomba yale yaliyotokea miaka ile yakiendelea tutamuomba Mungu afanye jambo lake. Jambo gani usiniliulize lakini Mungu anapenda watu wake, hapendi dhuluma, dhambi au uovu juu ya nchi.

"Mambo haya wasikiri wapo juu ya binadamu, wameaumbwa na Mungu na kuwekwa tanzania kwa makusudi. Ukijaribu kuwatesa sababu una jeshi, magereza, polisi, wasiyojulikana, Mungu anaweza kufanya jambo la kushangaza na ukajua Mungu yuko juu ya yote."
- Askofu Mwanamapinduzi akiwa Singinda kwenye Mkutano wa Lissu
Kumbe wapumbavu pia huzeeka?
 
Huyu Askofu nafikiri ameeleweka vizuri.
 
Kwa hiyo vyombo vya dola viingilie kati kwa kumkamata yeye na mshirika wake Mungu wa mbinguni au?
Kwa mission anayopanga, haihitaji hata kukamatwa, kwa kuwa ataifanya gizani, ni vizuri kukutana naye huko huko gizani
 
Anajiamini sana huenda ni kipepeo mfuatilia mambo yanaendaje upande wa pili. Anawezaje kutamka maneno ya hatari bila kuogopa vyombo vya dola kumnyaka?
 
Huyu jamaa alikuwa mbeba mizigo soko la Tandale, eti leo Askofu, kama kasoma sana, darasa la sita.

Kama anapanga kumuua kiongozi wa nchi, vyombo vya dola viingilie kati
Mungu aingilie kati kabla ya 2025 period.Wewe Malaya wa kisiasa umeelewaje?
 
Back
Top Bottom