Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi.
=====
"Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati.
Kupata nyuzi kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Maaskofu tumeanza kuomba yale yaliyotokea miaka ile yakiendelea tutamuomba Mungu afanye jambo lake. Jambo gani usiniliulize lakini Mungu anapenda watu wake, hapendi dhuluma, dhambi au uovu juu ya nchi.
"Mambo haya wasikiri wapo juu ya binadamu, wameaumbwa na Mungu na kuwekwa tanzania kwa makusudi. Ukijaribu kuwatesa sababu una jeshi, magereza, polisi, wasiyojulikana, Mungu anaweza kufanya jambo la kushangaza na ukajua Mungu yuko juu ya yote." - Askofu Mwanamapinduzi akiwa Singinda kwenye Mkutano wa Lissu