Pre GE2025 Askofu Mwanamapinduzi: Uonevu wa 2019 na 2020 tuliomba Mungu akaingilia kati, yaliyotokea yakiendelea wakati huu tutamuomba Mungu aingilie

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi.

=====

"Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati.

Kupata nyuzi kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

"Maaskofu tumeanza kuomba yale yaliyotokea miaka ile yakiendelea tutamuomba Mungu afanye jambo lake. Jambo gani usiniliulize lakini Mungu anapenda watu wake, hapendi dhuluma, dhambi au uovu juu ya nchi.

"Mambo haya wasikiri wapo juu ya binadamu, wameaumbwa na Mungu na kuwekwa tanzania kwa makusudi. Ukijaribu kuwatesa sababu una jeshi, magereza, polisi, wasiyojulikana, Mungu anaweza kufanya jambo la kushangaza na ukajua Mungu yuko juu ya yote."
- Askofu Mwanamapinduzi akiwa Singinda kwenye Mkutano wa Lissu
 
images (3).jpeg
 
Mungu muue yeyote nayemuwaza muda huu
 
Wakuu,

Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi.

=====

View attachment 3150174

"Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati.

"Maaskofu tumeanza kuomba yale yaliyotokea miaka ile yakiendelea tutamuomba Mungu afanye jambo lake. Jambo gani usiniliulize lakini Mungu anapenda watu wake, hapendi dhuluma, dhambi au uovu juu ya nchi.

"Mambo haya wasikiri wapo juu ya binadamu, wameaumbwa na Mungu na kuwekwa tanzania kwa makusudi. Ukijaribu kuwatesa sababu una jeshi, magereza, polisi, wasiyojulikana, Mungu anaweza kufanya jambo la kushangaza na ukajua Mungu yuko juu ya yote."
- Askofu Mwanamapinduzi akiwa Singinda kwenye Mkutano wa Lissu
Na huyu wa sasa naye nasikia yupo hoi hospitalini ndio maana haonekani. Mwache naye ajifie ili liwe fundisho kwa atakayechukua nafasi yake.
 
Kunakaujinga kwenye vichwa vya baadhi ya wanaojiita ni watumishi wa Mungu

Tunauhakika Mungu anaipenda Tanzania pekee asiwapende Rwanda ambako kunawanao chapwa risasi na kupotezwa mchana kweupe na wang'ang'ania madaraka?

Kama ndivyo, Palestine watasemaje? Huko Ukraine je?

Sudani kusini kinachoendelea si hao wanasiasa walafi wa madaraka? Kwa nini Mungu asiamue ugomvi?

Mnajua nyinyi wapinzani, mnajiona mnaakili mingi kumbe ni ujinga tupu

Uganda nako vipi?

Ni ujinga kuamini eti Mungu anaweza kuombwa ili amuuwe mtesi wako!

Vyama va upinzani vije na mikakati imara, madhubuti na inayofikiwa na kugusa wananchi

Mungu siyo mwanasiasa! Nyambafu kabisa

Na ieleweke hivi, kuna majitu huko duniani yanaroho mbaya kumshinda hata Magufuli, licha ya ukatili yaiyonayo, bado yanapeta tu

Kifo hakijaanzia kwa Magufuli kifo kimefyeka mpaka watoto wachanga ambao hawana kosa lolote!

Eti tuje kuaminishwa kuna watu wanaombea watu kufa?

Ujinga mtupu
 
Wakuu,

Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi.

=====

View attachment 3150174

"Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati.

"Maaskofu tumeanza kuomba yale yaliyotokea miaka ile yakiendelea tutamuomba Mungu afanye jambo lake. Jambo gani usiniliulize lakini Mungu anapenda watu wake, hapendi dhuluma, dhambi au uovu juu ya nchi.

"Mambo haya wasikiri wapo juu ya binadamu, wameaumbwa na Mungu na kuwekwa tanzania kwa makusudi. Ukijaribu kuwatesa sababu una jeshi, magereza, polisi, wasiyojulikana, Mungu anaweza kufanya jambo la kushangaza na ukajua Mungu yuko juu ya yote."
- Askofu Mwanamapinduzi akiwa Singinda kwenye Mkutano wa Lissu
Huyo Askofu wa ajabu sana. Kwamba alikuwa anajua Mwamba angelifariki mwaka 2050, lakini walipoomba Mungu akaingilia kati? Kweli Chadema kuna vichwa maji na si ajabu Mwamba aliwaengua wote! KUMBAVU!!!
 
Huyu jamaa alikuwa mbeba mizigo soko la Tandale, eti leo Askofu, kama kasoma sana, darasa la sita.

Kama anapanga kumuua kiongozi wa nchi, vyombo vya dola viingilie kati
 
Kunakaujinga kwenye vichwa vya baadhi ya wanaojiita ni watumishi wa Mungu

Tunauhakika Mungu anaipenda Tanzania pekee asiwapende Rwanda ambako kunawanao chapwa risasi na kupotezwa mchana kweupe na wang'ang'ania madaraka?

Kama ndivyo, Palestine watasemaje? Huko Ukraine je?

Sudani kusini kinachoendelea si hao wanasiasa walafi wa madaraka? Kwa nini Mungu asiamue ugomvi?

Mnajua nyinyi wapinzani, mnajiona mnaakili mingi kumbe ni ujinga tupu

Uganda nako vipi?

Ni ujinga kuamini eti Mungu anaweza kuombwa ili amuuwe mtesi wako!

Vyama va upinzani vije na mikakati imara, madhubuti na inayofikiwa na kugusa wananchi

Mungu siyo mwanasiasa! Nyambafu kabisa

Na ieleweke hivi, kuna majitu huko duniani yanaroho mbaya kumshinda hata Magufuli, licha ya ukatili yaiyonayo, bado yanapeta tu

Kifo hakijaanzia kwa Magufuli kifo kimefyeka mpaka watoto wachanga ambao hawana kosa lolote!

Eti tuje kuamishwa kuna watu wanaombea watu kufa?

Ujinga mtupu
Waovu lazima waombewe wafe. Hakuna haja ya kuendelea kukaa na waovu hapa duniani wanaendelea kuwaangamiza raia wasiokuwa na hatia.
 
Wakuu,

Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi.

=====

View attachment 3150174

"Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati.

"Maaskofu tumeanza kuomba yale yaliyotokea miaka ile yakiendelea tutamuomba Mungu afanye jambo lake. Jambo gani usiniliulize lakini Mungu anapenda watu wake, hapendi dhuluma, dhambi au uovu juu ya nchi.

"Mambo haya wasikiri wapo juu ya binadamu, wameaumbwa na Mungu na kuwekwa tanzania kwa makusudi. Ukijaribu kuwatesa sababu una jeshi, magereza, polisi, wasiyojulikana, Mungu anaweza kufanya jambo la kushangaza na ukajua Mungu yuko juu ya yote."
- Askofu Mwanamapinduzi akiwa Singinda kwenye Mkutano wa Lissu
Na iwe kama ulivyonena baba askofu.
 
Back
Top Bottom