Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

Kwani kuna marehemu aliiba kura? Maana askofu hajamtaja mtu!
Hata kusoma unajua ?

Nini maana ya nani yupo Hai ? Yaani kwa upande mwingine ni kama anasema waliokufa wote sio washindi sijui ushindi ni upi (na ukizingatia wote tutakufa pamoja na yeye basi logically hakuna mshindi)..., Ndio maana nikasema mijadala hii haitupeleki popote hususan kipindi hiki chenye changamoto za kutosha..., Nobody is discussing ideas anymore ni mwendo wa events and people....
 
Uhai siyo ushindi na kifo siyo hasara, halaumiwi aliekufa wala hapongezwi alie hai kwakua hakuna alieamua kwa ujanja wake.

Na uovu wa kumwaga damu pia ni dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu, ila kifo na uhai siyo kipimo cha ushindi au kushindwa.
Hekima mkuu! Heko sana
 
Mmemchomekea hayo maneno kwa lengo la kumfarakanisha na watu. Wapi amesema hivyo? Tunaomba ushahidi wa Video akisema hivyo otherwise Mods futeni huo upupu.
 
Wewe kisamvu cha kopo hili swali liko juu ya uwezo wako wa kufikiri
Uhai na kifo ni majirani mno! Hakuna mshindi wala mshindwa katika kifo! Walio hai hudhani uhai ni halali yao na hudhania ni jambo la kawaida kuwasimanga waliokufa! Huu ni ujinga uliokubuhu!

Kwa sababu, kwanza Mungu hapendi hata mmoja wa watu apotee kwa ile dhambi yake, bali kila mmoja aifikilie ile toba!

Mnadhani ni nani asiyetenda dhambi kati yetu hata huyu asikofu? Je mashamba ya watu aliodhurumu na mambo mengine ya chinichini ya kutafuna wake za watu?

Unadhani yeyeanahaki ya kuishi kwa kuwa yeye ni mtakatifu kuliko wote? Je wewe ni mtakatifu mno kiasi kwamba unauhalali wa kuwepo kulikoni hata ambao hata sasa wanakata roho?

Asikofu anayejua mandiko? Hawezi kuwa upande wa kutoa hukumu za watu, anahusikaje katika mavuno ya Mungu?

Kwani Mungu humwita na kumtwaa kila amtakaye kwa wakati wowote na hakuna wa kumzuia!

Mtenda dhambi na ambaye anadhani hana dhambi, wote huwatwaa kwa muda autakao
 
Back
Top Bottom