Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

Na aliyepigwa risasi naye akifa mshindi anakuwa nani?

Au Chiba yeye ana kinga dhidi ya kifo?
 
Swali la kijinga kutoka mtu asiyetarajiwa aseme hivyo!
Halafu mtu mcha Mungu tena Mkristo unatangaza ushindi kuwa ni kuendelea kuishi duniani hakika haitarajiwi kutoka kwa Mchungaji. Mtume Paul alisema "Kuishi ni Kristo na kufa ni faida". Mpuuzi kama Mwingira japo aitwa Mchungaji au labda Askofu anaona maneno hayo ya mtume Paul ni nadharia.
 
Back
Top Bottom