Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wakeHalafu mtu mcha Mungu tena Mkristo unatangaza ushindi kuwa ni kuendelea kuishi duniani hakika haitarajiwi kutoka kwa Mchungaji. Mtume Paul alisema "Kuishi ni Kristo na kufa ni faida". Mpuuzi kama Mwingira japo aitwa Mchungaji au labda Askofu anaona maneno hayo ya mtume Paul ni nadharia.