Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

Huyo mwingira anakuaga na utindio , mental health😕
wewe umesahau alidhulumiwa trekta zake zaidi ya mia?unajua ni hasara kiasi gani alipata?bado anauchungu ya yale aliyotendewa ijapokuwa anapaswa kusamehe sababu yeye ni mtumishi wa Mungu.
 
Kwani aliyepo awamu ya sita katokea kwenye wizi huo huo tunasema wa kura, ni mshindi au mshindwa?

Au ule msemo nyama ya nguruwe haram ila mchuzi halal?!
Tafadhali naomba ujibu swali la askofu. Usiulize swali juu ya swali
 
Ee Mwenyezi Mungu,

Ninaomba TOBA Kwa Kila kauli mbaya Kwa viongozi wetu zenye kuleta mgawanyiko ktk Nchi,

Ninakuomba uwajalie Viongozi na wananchi moyo wa KUSAMEHE na KUSAHAU,

Maana umetuagiza kuliombea Taifa TOBA Ili uiepushe Nchi na mapigo,

Tunakuomba REHEMA na ustawi ktk Nchi yetu nzuri, TANZANIA.

Aaaamen.
 
Sixteen bullets but still living! This kind of people like tundu always becomes a winner!
 
Tafadhali naomba ujibu swali la askofu. Usiulize swali juu ya swali
Kuwa hai au kufa hayo ni mambo ya Mungu, hakuna ambaye yupo hai kwa sababu yeye ni bingwa au aliyekufa kwa sababu ni mjinga. Huyo aliyepigwa risasi na yupo hai sasa hivi itafika muda naye atakufa je, tutasema ni ngoma droo?

Kimsingi Askofu hajaeleza huo ushindi ulikuwa wa kushindania nini?
 
Yeye kauliza swali. Ni vema tumjibu kwanza ndipo naye aulizwe
Mchungaji wa hadhi yake hawezi kuuliza swali juu ya kifo cha mtu, sawa aliyepigwa risasi amepona na magufuli kafa, kwa imani ya dini zote tunaamini kifo ni mapenzi ya Mungu, myu hawezi kufa mpaka Mungu aruhusu ndio maana pamoja na kupigwa risasi lissu bado yupo Mungu hakuruhusu afe, kwa hili naanza kumuelewa rais wa kenya juu ya hawa viongozi wetu wa kidini.
 
Kuwa hai au kufa hayo ni mambo ya Mungu, hakuna ambaye yupo hai kwa sababu yeye ni bingwa au aliyekufa kwa sababu ni mjinga. Huyo aliyepigwa risasi na yupo hai sasa hivi itafika muda naye atakufa je, tutasema ni ngoma droo?

Kimsingi Askofu hajaeleza huo ushindi ulikuwa wa kushindania nini?
Kwahiyo jibu la swali lake ni lipi?
 
Kwahiyo Lisu ameshinda nini wandugu? [emoji848]
Kuishi ambako huyo aliyetaka afe kafa yeye!
Nini huelewi hapo? Askofu anataka tujue kuwa uhai ni wa Mungu hivyo sio vyema binadamu kupanga kuuondoa uhai wa mwingine
 
Kwahiyo jibu la swali lake ni lipi?
Kama swali lake linauliza ni yupi mshindi kati ya aliyekufa na ambaye bado hajafa(yupo hai)? Basi jibu ni kwamba hakuna mshindi yeyote.

Kwa sababu hakuna ujanja wala mbinu anayotumia ili kuwa hai huyo aliyepigwa risasi ni vile tu siku zake bado, na huyo aliyekufa si kushindwa bali siku zake zilifika hakuna ujanja.
 
Dikteta huemwa mpk mwisho wa dunia.

Na bado nataka kuandika na kitabu kabisa kuelezea ujinga wote alioufanya
Hivi ile kesi yake ya kuzaa na mke wa muumini wake alimalizaje? Amekubali kulea yule mtoto aliyekuwa anamkana mpaka Mwanamke akaomba wakapime DNA? [emoji848]
 
Kuishi ambako huyo aliyetaka afe kafa yeye!
Nini huelewi hapo? Askofu anataka tujue kuwa uhai ni wa Mungu hivyo sio vyema binadamu kupanga kuuondoa uhai wa mwingine
Sasa mkuu kwani si ilikuwa lazima tu siku afe kama wengine huyo aliyepiga risasi? Au huyo aliyepigwa risasi ndio nae hatokufa? Sioni mahusiano ya kufa aliyepiga risasi na kuwa hai aliyepigwa risasi, maana tukio la kupigwa risasi lilitekelezwa na mpigwa risasi hakufa ila amepata madhara makubwa halafu baada ya muda mrefu yule aliyepiga risasi akafariki ndio tuhusishe kifo chake na yule aliyepigwa risasi?
 
Hivi ile kesi yake ya kuzaa na mke wa muumini wake alimalizaje? Amekubali kulea yule mtoto aliyekuwa anamkana mpaka Mwanamke akaomba wakapime DNA? [emoji848]
Hujajibu swali lake. Jibu kwanza swali lake ndipo tuhamie kwenye mada nyingine
 
Hebu tuwe wakweli hasa kwasisi waamini LISSU alipangiwa kifo cha risasi na wanadamu ambao walisahau mipango ya Mungu si ya mwanadamu!

Huwa tunaepushwa mengi kwa namna ya ajabu na ya kipekee mno na mwisho wa siku tunaishia kumshukuru Mungu maana huko tunakovuka si kwa utashi wala si kwa akili zetu
Vipi kwa upande wa Mwangosi yeye ushindi wake uko wapo?

Vipi wale watu 5 waliouawa na bomu la kurushwa kwa mkono kwenye mkutano wa machadema pale soweto? Wao ushindi wao uko wapi?

Vipi Dr Ulimboka yeye ushindi wake uko wapi?
 
Nadhani ni muda wa kutafuta utengamano wa nchi. Hayo nyaliyopita hayaijengi nchi hata kidogo chama chochote chahitajika kuwa na sera si matukio kama inavyotaka jionyesha katika hili andiko
 
Ee Mwenyezi Mungu,

Ninaomba TOBA Kwa Kila kauli mbaya Kwa viongozi wetu zenye kuleta mgawanyiko ktk Nchi,

Ninakuomba uwajalie Viongozi na wananchi moyo wa KUSAMEHE na KUSAHAU,

Maana umetuagiza kuliombea Taifa TOBA Ili uiepushe Nchi na mapigo,

Tunakuomba REHEMA na ustawi ktk Nchi yetu nzuri, TANZANIA.

Aaaamen.
Ameen
 
Back
Top Bottom