Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Ujumbe huo ungeanza kumpa Gwajiboy.Mchungaji aache majungu mimbarini. Amuhubiri Yesu siasa atuachie makaisali huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe huo ungeanza kumpa Gwajiboy.Mchungaji aache majungu mimbarini. Amuhubiri Yesu siasa atuachie makaisali huku.
Duh! Hana kesi ya kujibu kweliView attachment 2496495
N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
Ndiyo uwezo wako kiakili ulipoishia au umeamua kujitoa ufahamu?Kwani mashindano yalikuwa ya wizi wa kura au kufa na kupona? Maana alimpiga risasi kampiga risasi na Lissu hakujibu mashambulizi, alipoibiwa kura akataka kujibu mashambulizi(maandamano) ila majeshi yake yakamfelisha hayakutokea uwanja wa vita, basi Lissu akakimbia uwanja wa mapambano.
Hebu rudia kusoma swali halafu ulinganishe na utopolo uliouandika.Kwani aliyepo awamu ya sita katokea kwenye wizi huo huo tunasema wa kura, ni mshindi au mshindwa?
Au ule msemo nyama ya nguruwe haram ila mchuzi halal?!
Ukijibiwa ni-tag tafadhali.Wakati makonda anaenda kulia kanisani alikuwa anatumia viongozi wa mahakama? Na wakati JPM anachangisha hela za kujenga msikiti kanisani alikuwa anatumia viongozi wa TFF?
Mimi sina jina najua tu Mungu ni mweza wa yote.View attachment 2496495
N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
Duuh swali kali sana.Wakati makonda anaenda kulia kanisani alikuwa anatumia viongozi wa mahakama? Na wakati JPM anachangisha hela za kujenga msikiti kanisani alikuwa anatumia viongozi wa TFF?
🤣🤣🤣kwani kuna mada ya ugoni hapa?Eti anajiita NABII!
Kesi ya UGONI iliisha?
Sumu gani itakufaa? Maana si kwa jaziba hii!!!Swali la kijinga kutoka mtu asiyetarajiwa aseme hivyo!
Kila mtu atajibu hili swali kulingana na alivyolielewa.Mbona huwaulizi hao Pro CDM kwanini wamehusisha hilo swali na kifo cha JPM moja kwa moja au hujapitia comments zote?..kwanini mnahusisha kauli hiyo na mambo ya Ccm vs Cdm?
..Askofu hajataja mtu wala chama cha siasa.
TouphView attachment 2496495
N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
Hapa naona mtumishi 'ameteleza' kidogo.View attachment 2496495
N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
Wizi wa KURA ni sawa na ulawiti vyote ni laana.View attachment 2496495
N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
Siyo jibu ninalotaka mm. Jibu swali la askofu MwingiraSema unataka ujibiwe jibu gani unalotaka wewe?
Unajua, kuna watu badala ya kujadili hoja, wanaleta ujinga. Wa hivyo ni kwenda nao hivyo hivyoDuuh swali kali sana.
Kamshinda aliyetaka kumuua.Mwanakondoo ameshinda,tumduate.Kwahiyo Lisu ameshinda nini wandugu? [emoji848]
Mungu ni mwema sanaKamshinda aliyetaka kumuua.Mwanakondoo ameshinda,tumduate.
Ndio ni hivyo mkuu, we huoni Lissu alikuwa anataka Rais wa nchi ndio amuhakikishie usalama wake alirudi Tanzania? Hivyo ni wazi usalama na uhai wa Lissu una thamani kuliko hao wengine. Watu hatuna hadhi sawa hapa duniani.Ooh,kumbe thamani ya uhai wa mtu inaendana na hadhi yake? Kwamba hao wanachama wa CDM waliokufa Arusha kwenye mkutano huna haja ya kuhoji kwa kuwa hawana hadhi kama ya Kiongozi wao?