Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Mara hii Mwingira ni nabii safi na mcha Mungu safi.

Imenikumbusha kipindi kile Gwajima alipokuwa mshenga wa kumleta Lowasa chadema.
 
Kaskazini katika ubora wao.
 
Akaunti zake na za kanisa ziangaliwe yaweza kuwa katakatisha pesa za Lisu toka nje at a fee ndio anapiga hizo kelele za kupamba baada ya mzigo wa pesa kuingia
Unaumwa, POLE!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Acha uongo

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Hata Gwajima alikuwa na mapigo kama haya mwisho wa siku katubu kwa CCM.
 
Ushindi wake huo unasidia nini wakati atapata chini ya asimilia 20 na rais ni JPM?
Hata wakati Goliath anaenda kupigwa na Daudi alikuwa na Mazoea haya haya ya kujiona yeye ndiye mwamba hakuna wa kupigana na yeye lakini yaliyomkuta ni stori baada ya nyama yake kutupwa na kuwa chakula cha ndege wa angani.

Usiishi kwa mazoea amka mkuu zama zimebadilika na uhitaji umebadilika. Kwa sasa tunamtaka YEYE
 
Ufisadi siku hizi unafanywa na mtu mmoja tu. Heri hiyo kuliko wengi kufanya ufisadi.
 
Kwanini Askofu Mwingira ajazungumzia kuhusu tuhuma za Lissu kuwa na tabia za ushoga?
 
Ukikamatwa ubinywe kidogo utaweka ushahidi wa haya madai yako?

Au unafikiri umejificha sana hapa?
 


Naona teaser ya season two imetoka....

Najua season two ni kuwaingia kihisisa...
 
Kaskazini katika ubora wao.
Hiyo ya ukaskazini na ukusini iliisha'expire' kwa Lissu, na, si muda mrefu, mtaanza kuihusisha CHADEMA na udini kupitia kwa Mwingira, TUNAWASUBIRI TUWASHUKIE KAMA MWEWE ANAYELINDA MAKINDA YAKE!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Kwenye biblia wamesema na kila mwenye masikio na asikie,kwa kukazia humohumo nasema na kila mwenye mdomo na aseme neno, na kila mwenye vidole na aandike jambo JF.Tundu Antipus Rais na sio Lissu tena
 
Ukikamatwa ubinywe kidogo utaweka ushahidi wa haya madai yako?

Au unafikiri umejificha sana hapa?
Aliekuambia kuwa watu wanaogopa kukamatwa Kwa Siku hizi ni Nani? Unadhani watu wakiogopa magufuli atatoka madarakani? Kitakachotoa magufuli madarakani ni watu wengi kujitokeza pasipo kuogopa mtu Anauwa watu, anatesa watu anapora Mali za watu anavunja haki za raia anavunja haki za binadam muogope kusema? Kengewewe njoo Hapa sirari mpakani na isibania nyoko wewe, watu walishaumia Sana Kwa vitisho hivi, mmeishatesa watu kipindi hiki mnaenda kuishia ICC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…