mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Baada ya 28oct msijelialia hapa kwa kipigo mtakachokipata. Magufuli 80%+Anaweza kufanya Uhalifu wowote lakini ajue Mungu keshamkataa, hushangai Anashindwa kuhimili Kampeni kwa siku 5 mfululizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya 28oct msijelialia hapa kwa kipigo mtakachokipata. Magufuli 80%+Anaweza kufanya Uhalifu wowote lakini ajue Mungu keshamkataa, hushangai Anashindwa kuhimili Kampeni kwa siku 5 mfululizo?
Baada ya 28oct msijelialia hapa kwa kipigo mtakachokipata. Magufuli 80%+Anaweza kufanya Uhalifu wowote lakini ajue Mungu keshamkataa, hushangai Anashindwa kuhimili Kampeni kwa siku 5 mfululizo?
Baada ya 28oct msijelialia hapa kwa kipigo mtakachokipata. Magufuli 80%+Anaweza kufanya Uhalifu wowote lakini ajue Mungu keshamkataa, hushangai Anashindwa kuhimili Kampeni kwa siku 5 mfululizo?
Kwa kweli huyu Chato guy haamini macho yake. Alidhqni madege na madaraja yatampa unafuu ktk kampeni. Lkn kila akiyataja yanaongeza hasira kwa wananchi. #Ni Yeye.Ndege haziongelewi tena wananchi wanadai haki, uhuru na maendeleo.
Vihoja vingine sijui vyatokea wapi? Yabidi kumtazama USONI alovitoa.Nyuma ya pazia huyu mzee anaongozwa na ukabila wa mkewe mambo ya uchagani, wachaga wengi walikuwa wezi, njia za wizi zimebanwa, kujipendelea kazi nako siku hizi imekua ngumu so wamechanganyikiwa.
Enzi za JK siku moja akawa anaponda amani ya nchi akisema imekuwepo hata kabla ya uhuru.Ana maumivu tu huyo Hana lolote
Walizoea kupiga enzi za jk Sasa hv maumivu tupu.
Magu endelea kuwanyoosha. Niliwahi kumsikia miaka kadhaa iliyopita anajitapa tena kanisani eti Mungu NI mkubwa Sana Ninamiliki zaidi ya 500 pairs of shoes
Wakatii kanisani kwake Kuna watu wanatembea wamevaa ndala hawajui kiatu. Alinishangaza Sana kwa hiyo statement sitakaa nisahau nilikuwa naangalia kwenye TV anahubiri.
Mbona unamuonea askofu wa watu?! angemtabiria jiwe ungekenua mbele na nyuma hadi ushuzi mchafu! sasa ni nini kinakuchefua? Kula malimao na vitunguu swaumu uondoe kiungulia! Hivi ni wachaga walioiba dola milioni 391 kwenye ununuzi wa ndege na kuficha mahesabu ikulu? Hivi ni wachaga waliojenga uwanja wa ndege chato na kutoa tenda kwa mume mwenzi? Hivi ni wachaga walichagua wapwa kuwa paymaster generals ili kurahisisha ujambazi? Jiwe ni mwizi!Jiwe anaondoka for sure! come sun come rain!!Mzee wangu Mwingira hajifunzi, 2015 alimbeza na kumtukana JPM na bado alishinda.
Nyuma ya pazia huyu mzee anaongozwa na ukabila wa mkewe mambo ya uchagani, wachaga wengi walikuwa wezi, njia za wizi zimebanwa, kujipendelea kazi nako siku hizi imekua ngumu so wamechanganyikiwa. Dkt Magufuli ndiye rais wetu atake asitake!
Sky Eclat juma pili mapema kiti chambele EfathaNdege haziongelewi tena wananchi wanadai haki, uhuru na maendeleo.
Ndugu yangu kwa nini unahukumu kabila la watu kuwa ni wezi mbona unaleta tabia za kitumbili...Mzee wangu Mwingira hajifunzi, 2015 alimbeza na kumtukana JPM na bado alishinda.
Nyuma ya pazia huyu mzee anaongozwa na ukabila wa mkewe mambo ya uchagani, wachaga wengi walikuwa wezi, njia za wizi zimebanwa, kujipendelea kazi nako siku hizi imekua ngumu so wamechanganyikiwa. Dkt Magufuli ndiye rais wetu atake asitake!
Hii ni sauti ya unabii. Mwenye maskio na asikie.
Mnapenda kusifiwaga tu kama miungu ukweli hamuutakiAna maumivu tu huyo Hana lolote
Walizoea kupiga enzi za jk Sasa hv maumivu tupu.
Magu endelea kuwanyoosha. Niliwahi kumsikia miaka kadhaa iliyopita anajitapa tena kanisani eti Mungu NI mkubwa Sana Ninamiliki zaidi ya 500 pairs of shoes
Wakatii kanisani kwake Kuna watu wanatembea wamevaa ndala hawajui kiatu. Alinishangaza Sana kwa hiyo statement sitakaa nisahau nilikuwa naangalia kwenye TV anahubiri.
Hahahahaa utamfanya Nini tarehe 28?unachekesha walionunaaaKupiga nini acha ujinga wako kwani huyo anayepiga trillion 1.5 ni wakati wa Kikwete huu, nani aliwahi kuiba pesa ndefu hivo achilia ufisadi wa kujenga kiwanja kijijini kwake, bora hata enzi za Kikwete maana huyo vingekuwa vyombo vya habari viko huru angepigwa na mawe akiwa jukwani na watu walivyo na hasira nae subiri tarehe 28
Sasa nimeelewa pale Lissu anaposema mtu mmoja asijaribu kuchezea uchaguzi the Hague itamuhusu ni ukweli kunajambo linakuja
Magufuli mtu wa Mungu uliletwa uikomboe Tz toka kwa Hawa wenye akili ndogo za kitumwa. Twende kazi jembe!
Upinzani kwa ujumla km watafikisha 20% ya kura uchaguzi huu tutawapa nchi!