Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Sijui “askofu” Gwajima yeye anasemaje juu ya hili na sijui Gwajima anamtukuza mungu yupi?
 
Uko serious kabisaaa unataka kiongozi wa nchi akàjadiri mipango miji na nabii mzinzi kama mwingira
Kama issue ni uzinzi hata huyo unayemuita kiongozi wa nchi naye ni mzinzi wa kutupwa, hence wote ni wazinzi
 
Hii ya kumiliki mabosi wa 'Mabaka' haina tofauti na walivonunua wabunge na madiwani, leo hawaamini macho yao.

"Wapinzani wanachakata picha za mikutano ya nyuma" by Meko.
kwani Meko anasumbuliwa na nyomi la Upinzani ?
 
Mimi ni mwanaccm ila tangu Lisu aliporudi nilianza kuona hatari ya chama changu. Ninavyojua Mimi juu ya Lisu hakuna wa kumrudisha nyuma. Kumbuka chochote atakachofanyiwa Lisu ni hatari kwa mtenda ndani na nje.Kwa hiyo kila majira huja na mambo yake ambayo tunayaona kutoka kwa Lisu

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
kwani Meko anasumbuliwa na nyomi la Upinzani ?
Kwa kuzingatia kauli yake mwenyewe, hizi nyomi za Upinzani zinamnyima usingizi.

Hata kama ni wewe mkuu, mtu aliyekuwa branded 'msaliti' kisha akamiminiwa risasi 16 na akawa nje ya nchi kwa miaka almost mitatu kwa matibabu na mikutano yake haina wasanii wala haitumii malori, mabasi wala matela kujaza watu na huku

'WEWE' umejenga Mareli, Madaraja, Mabwawa, Ma airport na Mandege umenunua then anakuzidi wafuasi lazima 'ulegee'.
 
Kumiliki dola sio garantii ya kuishinda umma, Ingekuwa hivyo Saddam, Gadaffi, bashiru, mobutu, wasingetoka madarakani. Mwenye mtaji wa watu ndie anaemiliki dola. Ccm inamiliki dola lakini imekosa ushawishi kwa umma. Chama cha ukombozi Cha watu wa china kimedumu madarakani mda mrefu si kwa nguvu ya dola bali kumiliki nguvu ya umma yaani kutatua kero na shida za wachina hivo kimejenga mizizi. Kosa la ccm walidhani kuwatumia dola kuwaumiza wapinzani kungeibeba kumbe kumeibomoa ccm check mfano zuio la mikutano ya siasa, manunuzi ya wanaopigiwa kura badala ya Kuwanunua wapiga kura hili kwao limekuwa Ni liability na sio asset. Pamoja na kuwatumia wasanii still bado wanapumulia.
 

Attachments

  • FB_IMG_1600781151560.jpg
    FB_IMG_1600781151560.jpg
    15.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1600920618429.jpg
    FB_IMG_1600920618429.jpg
    40.2 KB · Views: 2
Mzee anahaki ya kutumia mfano wowote katika kufundisha watu Wake.

Ila Mamlaka iliyopo sasa imekubalika na ilishapata kibali Mbele za Mungu Rais Magufuli anakwenda kushinda term nyingine,

Tunakwenda kuiona Tanzania ikiimarika zaidi ya sasa.
@stroke hakika utaishi muda mrefu maana una roho ngumu kama ya kenge![emoji23][emoji23] yaani never say die hadi utoke damu masikioni.
Ila mwaka huu Lissu atawatoa damu masikioni! Jiongeze ndugu toka huko uliko!
 
Kwa kuzingatia kauli yake mwenyewe, hizi nyomi za Upinzani zinamnyima usingizi.

Hata kama ni wewe mkuu, mtu aliyekuwa branded 'msaliti' kisha akamiminiwa risasi 16 na akawa nje ya nchi kwa miaka almost mitatu kwa matibabu na mikutano yake haina wasanii wala haitumii malori, mabasi wala matela kujaza watu na huku

'WEWE' umejenga Mareli, Madaraja, Mabwawa, Ma airport na Mandege umenunua then anakuzidi wafuasi lazima 'ulegee'.
Cha kusikitisha ni kuwa "nyomi" haijawahi kuwa kigezi cha ushindi:cfs---lyatonga, Ngoyai et cetera
 
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.

Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.

Hakika mtu huyu ni Victor(mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.

Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.

Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
Hapa ndo tunasema watu wengi wapo kimya lkn wana jambo lao moyoni
 
Back
Top Bottom