abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
, [emoji849][emoji1787]chadema Bana dah haya yetu macho kwaio chama hakina wafuas!?
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi hawahawa wanaosimama barabarani wakimshangilia Jiwe anavyocheza wimbo wa Zuchu wa ccm? Au wale wanaojazana kwenye mikutano ya ccm na huku wakiburudishwa na wasanii?Ndege haziongelewi tena wananchi wanadai haki, uhuru na maendeleo.
Wewe tumekupuuza. Taarifa ya jana imetufumbua macho.Mwingira Mungu alimuita kuhubiri habari za Yesu sio za Tundu Lisu na risasi zake kapotezea muda waumini walioenda kusikiliza habari za Yesu halafu wakaishia kusikiliza habari za Tundu Lisu
Mwingira 2015 alikuwa UKAWA na mgombea wake CCM tulimshinda ajiandae na huyu wake Lisu tutamshinda
Hii ndio kanuni ya Kijeshi. Wale wa mabaka mabaka wako wanasoma mchezo. Kuna mtu anadhani watamuokoa.
Kwanini usiache kupiga kura kabisa kama mie?sijawahi kujuta.Kura yangu ni kwa Tundu Lisu. Siwezi kuishi maisha ya kumsikiliza mtu mmoja.
Anaye jijali yeye tu. Ashibe yeye tu na anaowachagua.
Hashim Rungwe simpi kura yangu. Bora nimpigie Mrema.
Kwani 2015 matokeo ya kura yalikuwaje? Na huyu sauli alinyenyanganya nafasi ya mwingine umeona ameishia wapi? Acha kushupaza shingo''Askofu Mwingira'' aliwahi kutuambia kuwa Lazaro Nyalandu atakuwa Rais wa Tanzania mwaka 2015!
Kauli kama hizi za 'Wachungaji, Maaskofu na Manabii'' tumezisikia sana na tuna kumbukumbu nazo hizi;
“Raisi ajae wa Tanzania ni Lowassa licha ya kuwa baadhi ya watu wamepanga mambo mabaya dhidi yake. Aidha alisema kwamba Mungu alimwambia awaambie wana CCM kuwa amemtuma yeye (Askofu Komanya) aseme kuwa Mungu ndiye aliyemchagua Lowassa” (Chanzo: Gazeti la Jambo Leo la tarehe 21/03/2014 siku ya Ijumaa).
Kwa Mtanzania yeyote aliye na hulka na tabia ya kuheshimu na kuamini viongozi wa dini anajenga imani ya dhati kwamba Mheshimiwa Lowassa ni lazima atakuwa Raisi wa Tanzania tu kwani hayo sio mawazo ya wanaadamu bali ni maono yaliyotoka kwa Mwenye ezi Mungu.
Pamoja na kuaminishwa hivyo na Askofu Komanya, Watanzania pia walipokea “maono” mengine kutoka kwa Nabii Josephat Mwingira wa Huduma ya EFATHA.
“Siku chache baada ya kutangaza kujitosa rasmi kuwania ukuu wa dola (uraisi), Waziri wa Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Lazaro Nyalandu aliadhimisha sherehe za mwaka mpya wa 2015 katika Kanisa la EFATHA huku Mchungaji wa Kanisa hilo Josephat Mwingira alimtabiria ushindi wa safari yake aliyoianza.
Zaidi Mchungaji Mwingira alisema neno hilo ni la kinabii na kusisitiza hakuna wa kumzuia Nyalandu kwa sababu ukuu umeamriwa juu yake. Mwingira ambaye alisema neno hilo limetoka kwa Bwana alisisitiza kuwa vikwazo juu ya Nyalandu havitakuwepo tena” (Chanzo: Gazeti la Mtanzania la tarehe 02/01/2015 ukurasa wa tatu).
Pamoja na maono hayo kuonekana yanapingana juu ya ni nani haswa ndiye atakuwa Raisi wetu katika awamu ya tano.
Kwa sasa tunajua hatma ya maono yao ya mwaka 2015 lakini kwa kushangaa wameanza tena kuja na kile wanachodai ''maono'' kutoka kwa Mungu!
Tanzania kuna vituko!
Nabii Mwingila!?huyu huyu!?Hii ni sauti ya unabii. Mwenye maskio na asikie.
Mi sijamtaja huyo unayemtaja, mi nimewataja watu wawili Tu.Kwanini usiache kupiga kura kabisa kama mie?sijawahi kujuta.
Maana wewe unaonekana hauendi kupiga kura ili kumpata kiongozi unayeona ndiyo sahihi bali unaenda kupiga kura kutokana na hasira ulizonazo zidhi ya Magufuli.
Ukienda kupiga kura halafu matokeo unaona usiyempenda ndio kashinda hapo lazima stress zizidi.
Na Kuna Maaskofu lukuki nao wanaunga mkono juhudi....na ndio hukusanywa kuombea amani na Maendeleo ya Awamu ya Tano....hapa tumeshavurugana na hili donda halitapona....Mimi siwezi fuata Kanisa ambalo lilikaa kimya WAKATI WATAWALA WAKIPIGA MARUFUKU KUMUOMBEA TUNDU LISU AKIWA KITANDA CHA MAUTI...HILO KWANGU NI KANISA LA MASHETANI.....!Mwingira kwa wakongwe wa jf wanajua zile threads zilizokua zikianzishwa miaka ya nyuma namna alivyozaa na wanawake za watu kibao ila sababu yupo upande wa pili hayo madhambi yake yote yenye ushahidi yametakaswa na hayaonekani
Ila mtu fudenge yeye anachanganya siasa na dini, nasikia kuna maaskofu walikua wanahutubia majukwaa ya siasa juzi Bukoba, watanzania unafiki utatuua
Maneno yenye ukweli mzito kutoka kwa mtumishi wa Mungu. Tundu Antiphas Lissu ni muujiza kweli unaotembea.Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.
Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.
Hakika mtu huyu ni Victor(mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.
Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.
Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
Mkuu na wewe unaishi Tanzania hii hii inayopakana na kenya,uganda,burundi,DRC,zambia,malawi na msumbiji au unaishi Tanzania nyingine?Mzee anahaki ya kutumia mfano wowote katika kufundisha watu Wake.
Ila Mamlaka iliyopo sasa imekubalika na ilishapata kibali Mbele za Mungu Rais Magufuli anakwenda kushinda term nyingine,
Tunakwenda kuiona Tanzania ikiimarika zaidi ya sasa.
Nimekugongea "like". Yahitaji kujitoa ufahamu ili umsikilize nabii mzinzi''Askofu Mwingira'' aliwahi kutuambia kuwa Lazaro Nyalandu atakuwa Rais wa Tanzania mwaka 2015!