Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Mtu wa Mungu amkosei Mungu kwa kuzivunja amri kumi za Mungu Kuwanunua viongozi wa dini kupiga picha kanisani hakukupi tiketi ya utakatifu au kuwa karibu ya Mungu.
Wakati ukuta wakati haukimbiwi
Magufuli kazivunja wapi hizo amri za Mungu? Magufuli ni mkweli asiyeyumba, koleo anaiita koleo sio kijiko kikubwa.
 
Maneno mazito haya myasikilize wana wa mtaa wa Lumumba, mkubali mshindi huwezi kumshinda msikie wana CCM Mpya.

2020 CCM Mpya kwa mara ya kwanza wanashiriki tu uchaguzi kwa maana ni washindwa . Mshindi ameshajulikana .

24 September 2020
TUNDU LISSU APEWA BURUDANI BARIADI

 
Nabii alitaka watu washirikishwe katika Maendeleo ya Watu mwanzoni kabisa wa utawala wa Awamu ya Tano lakini CCM Mpya Mpya mlikuwa wabishi

23 January 2019 angalizo la Nabii Mwingira juu ya CCM Mpya alivyoiona jinsi ilipoanza safari kwa kutumia 'mguu usio sahihi' hapo 2016 na hivyo Nabii Josephat Mwingira alisema haya kama ushauri :
MANENO MAGUMU ALIYOAMBIWA RAIS MAGUFULI NA NABII MWINGIRA


Mipango miji ni ya Mungu ila Vurugu (bomoabomoa n.k) za miji ni za shetani.
 
Weka ushahidi hapa
Unaongea ngonjera ,taarabu na mipasho

Weka evidence hapa

Tunahitaji ushahidi

Acha story za kutunga tunga za vijiweni na kupachika tarehe za magazeti

Huna hoja za msingi

Unapoandika jaribu kuandika kisomi ,Hili sio jukwaa la mapenzi na mipasho

Weka ushahidi hapa
 
Ukifikiria kwa jicho la kiroho kama ambavyo Mshana Jr ameshawahi kueleza humu kuwa Lissu sio binadamu tena. Anayejaribu kupamabana naye ajiulize mara mbili mbili.
View attachment 1578779
Popote pale ambapo muziki wa rege ulitumika katika harakati za siasa haukuwahi kuiacha salama serikali yoyote dhalimu.
CHADEMA waachane na ujinga wa Singeli, tupia rege tu mwanzo mwisho, vitu kama fire, Ride natty dread, iron lion zion na one love hizi wananchi wakiimbishwa lazima serikali ikose uhalali na wakiimbishwa zaidi lazima waingie barabarani kuiondoa serikali.

Ushauri wangu kwa CHADEMA, kama kweli wanapanga kuingiza watu barabarani watakapoibiwa kura basi waanze kutumia nyimbo hizo. Ingawa naona ni kweli wana dhamira hiyo maana wamekua wakiutumia sana One Love.
 
Afadhali tuongozwe na chama kingine nacho tukione kuliko chama kimoja tu kwa miaka 60
Miaka 60 ya umasikini, ujinga na maradhi.

CCM kwa miaka 60 ilichofanikiwa sana ni kuzalisha wajinga, wapumbavu, magonjwa, masikini na fukara wa kutupwa inawaita wanyonge wake, miaka 60 ccm inatetea wanyonge, hao wanyonge hawaishi?

CCM hata tukiwapa miaka 500 hakuna kitu kipya watatuletea.
 
Mnajidanganya wenyewe na kujifariji kusiko na matokeo ya furaha..
 
Nawatazama kisha nasema h!!!!!!!!!!!!!!...
JamiiForums103211147.jpg
 
Hii tabia za Viongozi wa Kidini siku hizi zimejaa unafiki na ubinafsi, Ukifuatilia kwa makini, jee kwa nini Mwingira amekuwa mshabiki mkubwa wa Lissu, na hata kutumia Jukwa la Kanisa kumfanyia campaign Lissu. Jee ni kwa sababu ya serekali ya Magufuli kuwatendea haki watu waliokuwa wanadhulumiwa na Mwingira, kwenye mashamba yao.

Kuhusu hili la mwanadamu kuweza kutembea au kuishi akiwa na risasi mwilini, wako wengi wanaoishi na risasi mwilini, Mara nyingi Madaktari wakiona kjiondoa linaweza kumletea madhara mdhurika , wanaamua kuiwacha. hapa chini ninawawekea article kutoka THE NEW YORK TIMES, litaonyesha kuwa kuna waliopigwa risasi zaidi ya 20 na bado wanaishi. Mwanadamu anaweza amua kukuua, lakini kama Mungu hajakubali hautakufa, waliotaka kumuua LISUU walisahau kuwa kuna Mwenye nguvu zaidi yao naye ni MUNGU. LISSU sio miujiza bali ni nguvu za mungu.


One Bullet Can Kill, but Sometimes 20 Don’t, Survivors Show


By John Eligon

April 3, 2008

A man in North Carolina was shot roughly 20 times in 1995 and lived to tell about it. The rapper 50 Cent was shot nine times in 2000 and has since released three albums. And in 2006, Joseph Guzman survived 19 gunshot wounds during the 50-shot fusillade by police detectives that killed Sean Bell.

While surviving numerous gunshots could be a miraculous feat, doctors who have treated gunshot victims say that being shot is not automatically a death sentence.

When major organs the heart and brain especially and blood vessels are avoided, the chances of survival are good, they said. The catch, of course, is that there is no science to preventing a bullet from hitting a vital part of the body.

“It’s a matter of total, straight luck,” said Dr. Vincent J. M. DiMaio, the former chief medical examiner in Bexar County, Tex., and the author of a book on gunshot wounds first published in 1985.

“One bullet can kill you,” he said.

The trial of three detectives Gescard F. Isnora, Michael Oliver and Marc Cooper involved in the shooting that killed Mr. Bell has shown just how arbitrary the flight of bullets can be.

While Mr. Guzman survived at least 13 shots, Mr. Bell was struck only four times, and two of those shots were fatal. A bullet was found lodged near Mr. Guzman’s left kidney, and he had wounds on the left side of his chest and on his right cheek, among other places, according to testimony at the detectives’ trial on Wednesday from Dr. Albert Cooper, the surgeon at Mary Immaculate Hospital who treated Mr. Guzman on the morning of the shooting.

Matter from Mr. Guzman’s intestines spilled into his abdominal cavity, creating the potential for deadly infection, Dr. Cooper said.

Mr. Guzman survived an onslaught that would kill a person 99 percent of the time, Dr. DiMaio said. Mr. Guzman’s saving grace may have been the Nissan Altima he sat in as the detectives fired, Dr. DiMaio said.

“If they go through metal, the bullets may have so little energy they get into the muscle or fat and then they stop,” he said.

A person’s physical size does not matter much when it comes to the damage a bullet can do, the doctors say.

In 1995, the man in North Carolina, Kenny Vaughan, did not have a car to protect him when he was shot about 20 times in Rougemont.

As Mr. Vaughan pulled into his driveway one evening, he said, a man in a van pulled in behind him and hopped out with a rifle in his hand. Mr. Vaughan recognized the man as a former neighbor. As Mr. Vaughan dashed for the side of his house, he was struck in the side of his right leg and fell to the ground.

Image

Kenny Vaughan was shot about 20 times outside his home in 1995. “I asked the Lord not to hit me in my heart and head,” said Mr. Vaughan, who said he never lost consciousness.Credit...Nathaniel Brooks for The New York Times

Then, from about five feet away, the man fired shot after shot as Mr. Vaughan crept on his side, trying in vain to crawl under his minivan, to somehow find a reprieve from the indescribable sting he felt with each bullet that tore into his body.

“You’re thinking clearer than you ever thought in your life,” Mr. Vaughan said during a recent interview. “I don’t know if it’s the adrenaline or just the will to live. You want to live more than anything in the world, and you know you have no control. I asked the Lord not to hit me in my heart and head.”

When the gunman stopped to reload, Mr. Vaughan said, he pulled himself to his feet and onto the hood of his minivan. But the man knocked him on his back with a shot to the abdomen, again from about five feet away, and continued shooting.

The final shot, Mr. Vaughan said, entered his groin area and exited through his rectum, leaving him lying in a pool of blood and feces. He never lost consciousness.

“I wouldn’t close my eyes,” he said. “I kept telling myself, ‘If you close your eyes, you’ll go into shock, and you’re dead.’ ”

Mr. Vaughan said that he had an out-of-body experience while he was being shot he felt as though he was watching the shooting from 15 feet away and that he had God to thank for his survival.

“It was a plan that was way bigger than I am,” Mr. Vaughan said. “And why he saw fit for me to live and other people not to live, I can’t begin to answer that question.”

Two doctors who operated on Mr. Vaughan said his survival was unlike anything they had ever seen. Bullets barely missed several vital organs. Two were less than an inch from his heart.

“How you can get that many bullets in the chest, the groin, the abdomen and extremities and not have a lethal injury is pretty remarkable,” said Dr. Phillip Shadduck, the general surgeon at Durham Regional Hospital who operated on Mr. Vaughan. “He was very fortunate.”

The gun used to shoot Mr. Vaughan was a .22-caliber rifle, a firearm that is much less lethal than, say, the 9-millimeter handguns that detectives in the Bell case used, Dr. DiMaio said.

But Mr. Vaughan was shot at close range with nothing to shield him. In those cases, there is little one can do to mitigate damage, said Dr. DiMaio and Dr. Martin L. Fackler, a former military surgeon.

“The best thing, they say, is run,” Dr. DiMaio said.

If a gunshot victim’s heart is still beating upon arrival at a hospital, there is a 95 percent chance of survival, Dr. DiMaio said. (People shot in vital organs usually do not make it that far, he added.)

Shots to roughly 80 percent of targets on the body would not be fatal blows, Dr. Fackler said. Still, he added, it is like roulette.

Anybody who survives being shot, he said, “is lucky to be alive.”
 
Kwa kweli Nabii Mwingira ametoa somo la ajabu sana. Asomaye afahamu
Hakika, na asiejua maana ya ukuu wa Mungu ama matendo ya ajabu ya Mungu akamtazame lissu. Kuna tofauti kubwa sana kati ya chaguo la mungu kwa maana ya sifa zitokazo kwa wanadamu wenye njaa na tamaa, na chaguo la Mungu kwa tafsiri ya udhihirisho halisi wa mkono wa Mungu unaoshuhudiwa kwa macho na dunia yote.
 
Back
Top Bottom