Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

1600903750074.png

Wabaya wake walitaka aitwe Marehemu Lissu lakini Mungu Mwenyezi alipanga aitwe Rais Lissu.
 
Hii ndio kanuni ya Kijeshi. Wale wa mabaka mabaka wako wanasoma mchezo. Kuna mtu anadhani watamuokoa.
Hata ukiongea na mabaka wa chini wanawalaumu wananchi uoga wao ndio kikwazo Chao pa kuanzia,so siku akiingiza mabaka ndipo atapoona Moto ukimuwakia.Anadhani kuwamiliki mabosi zao ndio kuwamiliki wote,wanamchora tu.
 
Magufuli mtu wa Mungu uliletwa uikomboe Tz toka kwa Hawa wenye akili ndogo za kitumwa. Twende kazi jembe!
Upinzani kwa ujumla km watafikisha 20% ya kura uchaguzi huu tutawapa nchi!
 
Hatimae hata watu maarufu wameanza kukiri na kusema hadharani tuliyokuwa tukiyaseme sisi humu mitandaoni kuhusu Lissu.

Hii ilikuwa ni Jan. 5 ya mwaka 2018:

Lissu kupona ni mpango wa Mungu;yanayoendelea sasa ni mpango, na kwa mpango wa Mungu atayashinda; ili Mpango wake utimie

Niseme tu,huyu Askofu Mwingira atakuwa anatumiwa na Mungu ili kuwapa na watu wengine nguvu na ujasiri wa kusema hadharani hivyo tarajieni kuibuka sauti nyingi za aina hii.

Yanaanza kutimia na kuna mtu ataanza kuchanganyikiwa kabisa huko aliko.

Hata hivyo, Mwingira ajiandae kwa figisufigisu na visasi kutoka kwa Bwana Yule(loser).
 
Magufuli mtu wa Mungu uliletwa uikomboe Tz toka kwa Hawa wenye akili ndogo za kitumwa. Twende kazi jembe!
Upinzani kwa ujumla km watafikisha 20% ya kura uchaguzi huu tutawapa nchi!
Mtu wa Mungu amkosei Mungu kwa kuzivunja amri kumi za Mungu Kuwanunua viongozi wa dini kupiga picha kanisani hakukupi tiketi ya utakatifu au kuwa karibu ya Mungu.
Wakati ukuta wakati haukimbiwi
 
''Askofu Mwingira'' aliwahi kutuambia kuwa Lazaro Nyalandu atakuwa Rais wa Tanzania mwaka 2015!

Kauli kama hizi za 'Wachungaji, Maaskofu na Manabii'' tumezisikia sana na tuna kumbukumbu nazo hizi;

“Raisi ajae wa Tanzania ni Lowassa licha ya kuwa baadhi ya watu wamepanga mambo mabaya dhidi yake. Aidha alisema kwamba Mungu alimwambia awaambie wana CCM kuwa amemtuma yeye (Askofu Komanya) aseme kuwa Mungu ndiye aliyemchagua Lowassa” (Chanzo: Gazeti la Jambo Leo la tarehe 21/03/2014 siku ya Ijumaa).
Kwa Mtanzania yeyote aliye na hulka na tabia ya kuheshimu na kuamini viongozi wa dini anajenga imani ya dhati kwamba Mheshimiwa Lowassa ni lazima atakuwa Raisi wa Tanzania tu kwani hayo sio mawazo ya wanaadamu bali ni maono yaliyotoka kwa Mwenye ezi Mungu.
Pamoja na kuaminishwa hivyo na Askofu Komanya, Watanzania pia walipokea “maono” mengine kutoka kwa Nabii Josephat Mwingira wa Huduma ya EFATHA.

“Siku chache baada ya kutangaza kujitosa rasmi kuwania ukuu wa dola (uraisi), Waziri wa Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Lazaro Nyalandu aliadhimisha sherehe za mwaka mpya wa 2015 katika Kanisa la EFATHA huku Mchungaji wa Kanisa hilo Josephat Mwingira alimtabiria ushindi wa safari yake aliyoianza.

Zaidi Mchungaji Mwingira alisema neno hilo ni la kinabii na kusisitiza hakuna wa kumzuia Nyalandu kwa sababu ukuu umeamriwa juu yake. Mwingira ambaye alisema neno hilo limetoka kwa Bwana alisisitiza kuwa vikwazo juu ya Nyalandu havitakuwepo tena” (Chanzo: Gazeti la Mtanzania la tarehe 02/01/2015 ukurasa wa tatu).

Pamoja na maono hayo kuonekana yanapingana juu ya ni nani haswa ndiye atakuwa Raisi wetu katika awamu ya tano.

Kwa sasa tunajua hatma ya maono yao ya mwaka 2015 lakini kwa kushangaa wameanza tena kuja na kile wanachodai ''maono'' kutoka kwa Mungu!

Tanzania kuna vituko!
 
Mzee anahaki ya kutumia mfano wowote katika kufundisha watu Wake.

Ila Mamlaka iliyopo sasa imekubalika na ilishapata kibali Mbele za Mungu Rais Magufuli anakwenda kushinda term nyingine,

Tunakwenda kuiona Tanzania ikiimarika zaidi ya sasa.
 
Back
Top Bottom