Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Mkuu na wewe unaishi Tanzania hii hii inayopakana na kenya,uganda,burundi,DRC,zambia,malawi na msumbiji au unaishi Tanzania nyingine?
Nasubiri hoja yako dhidi ya hoja ya 'stroke'
 
Na Kuna Maaskofu lukuki nao wanaunga mkono juhudi....na ndio hukusanywa kugombea amani na Maendeleo ya Awamu ya Tano....hapa tumeshavurugana na hilibdonds halitapona....Mimi siwezi fuata Kanisa ambalo lilikaa kimya WAKATI WATAWALA WAKIPIGA MARUFUKU KUMUOMBEA TUNDU LISU AKIWA KITANDA CHA MAUTI...HILO KWANGU NI KANISA LA MASHETANI.....!
Sasa mtu fudenge alivyokua akishiriki kwa hali na mali nyingi kwenye campaign za Lowassa na kumpopoa bashite alikua hachanganyi siasa na dini? Ila kaanza kuzichanganya alivyorudi upande wa pili? Cha msingi nasema watanzania ni wanafiki na wazandiki na huwezi kujiita mpigania haki huku umejaa unafiki.
 
Igwee!
Mtume na nabii mwingira ametoa unabii wake kuhusu uchaguzi huu wa 2020 oktoba, katika moja ya point kubwa aliiyoizungumzia ni kuwa mshindi hawezi kuzuiwa, kama Mungu alimpa ushindi basi atashinda, Japokuwa ametumia kiingereza huku ikitafsiriwa lakini ujumbe huu unaweza kuwa wa kwanza kwa kanisa la kipentekoste hasa makanisa yenye huduma za mtu binafsi.


Karibu usikilize[emoji1370]View attachment 1578719View attachment 1578721
Kama risasi 49 hazikufua dafu mwanadamu anayeshindana naye ajue anashindana na Mwenyezi Mungu na kamwe hatafanikiwa.

Tundu Lissu ni muujiza mkubwa duniani ila maadui wa Mwenyezi Mungu wamepofuliwa na dhambi zao ili wasije kuiona NURU na hatimaye kuokoka

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Sanduku la kura lina maajabu! watu watakuimbia, kukubeba na watasukuma hadi gari lako ila kura watapiga kwa chama chao!
Magufuli anajua alikuwaje rais 2015,ninyi mapoyoyo kazi yenu kupayuka tu
 
Nabii alitaka watu washirikishwe katika Maendeleo ya Watu mwanzoni kabisa wa utawala wa Awamu ya Tano lakini CCM Mpya Mpya mlikuwa wabishi

23 January 2019 angalizo la Nabii Mwingira juu ya CCM Mpya alivyoiona jinsi ilipoanza safari kwa kutumia 'mguu usio sahihi' hapo 2016 na hivyo Nabii Josephat Mwingira alisema haya kama ushauri :
MANENO MAGUMU ALIYOAMBIWA RAIS MAGUFULI NA NABII MWINGIRA


Uko serious kabisaaa unataka kiongozi wa nchi akàjadiri mipango miji na nabii mzinzi kama mwingira
 
Kuna askofu akitabili kushindwa kwa lisu atatukanwa kinoma
 
''Askofu Mwingira'' aliwahi kutuambia kuwa Lazaro Nyalandu atakuwa Rais wa Tanzania mwaka 2015!

Kauli kama hizi za 'Wachungaji, Maaskofu na Manabii'' tumezisikia sana na tuna kumbukumbu nazo hizi;

“Raisi ajae wa Tanzania ni Lowassa licha ya kuwa baadhi ya watu wamepanga mambo mabaya dhidi yake. Aidha alisema kwamba Mungu alimwambia awaambie wana CCM kuwa amemtuma yeye (Askofu Komanya) aseme kuwa Mungu ndiye aliyemchagua Lowassa” (Chanzo: Gazeti la Jambo Leo la tarehe 21/03/2014 siku ya Ijumaa).
Kwa Mtanzania yeyote aliye na hulka na tabia ya kuheshimu na kuamini viongozi wa dini anajenga imani ya dhati kwamba Mheshimiwa Lowassa ni lazima atakuwa Raisi wa Tanzania tu kwani hayo sio mawazo ya wanaadamu bali ni maono yaliyotoka kwa Mwenye ezi Mungu.
Pamoja na kuaminishwa hivyo na Askofu Komanya, Watanzania pia walipokea “maono” mengine kutoka kwa Nabii Josephat Mwingira wa Huduma ya EFATHA.

“Siku chache baada ya kutangaza kujitosa rasmi kuwania ukuu wa dola (uraisi), Waziri wa Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Lazaro Nyalandu aliadhimisha sherehe za mwaka mpya wa 2015 katika Kanisa la EFATHA huku Mchungaji wa Kanisa hilo Josephat Mwingira alimtabiria ushindi wa safari yake aliyoianza.

Zaidi Mchungaji Mwingira alisema neno hilo ni la kinabii na kusisitiza hakuna wa kumzuia Nyalandu kwa sababu ukuu umeamriwa juu yake. Mwingira ambaye alisema neno hilo limetoka kwa Bwana alisisitiza kuwa vikwazo juu ya Nyalandu havitakuwepo tena” (Chanzo: Gazeti la Mtanzania la tarehe 02/01/2015 ukurasa wa tatu).

Pamoja na maono hayo kuonekana yanapingana juu ya ni nani haswa ndiye atakuwa Raisi wetu katika awamu ya tano.

Kwa sasa tunajua hatma ya maono yao ya mwaka 2015 lakini kwa kushangaa wameanza tena kuja na kile wanachodai ''maono'' kutoka kwa Mungu!

Tanzania kuna vituko!
Hatuhitaji gazeti, ... bali kila neno litokalo kwa bwana!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Mzee anahaki ya kutumia mfano wowote katika kufundisha watu Wake.

Ila Mamlaka iliyopo sasa imekubalika na ilishapata kibali Mbele za Mungu Rais Magufuli anakwenda kushinda term nyingine,

Tunakwenda kuiona Tanzania ikiimarika zaidi ya sasa.
Ana haki
 
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.

Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.

Hakika mtu huyu ni Victor(mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.

Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.

Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
Mchungaji ameamua kuchukua nafasi ya Bwana Kakobe na Tapeli Gwajima kwa kutoa support yake kwa upinzani.

Big sana.

Kagonza show them what to do these niggas
 
Hata ukiongea na mabaka wa chini wanawalaumu wananchi uoga wao ndio kikwazo Chao pa kuanzia,so siku akiingiza mabaka ndipo atapoona Moto ukimuwakia.Anadhani kuwamiliki mabosi zao ndio kuwamiliki wote,wanamchora tu.
Hii ya kumiliki mabosi wa 'Mabaka' haina tofauti na walivonunua wabunge na madiwani, leo hawaamini macho yao.

"Wapinzani wanachakata picha za mikutano ya nyuma" by Meko.
 
Hata ukiongea na mabaka wa chini wanawalaumu wananchi uoga wao ndio kikwazo Chao pa kuanzia,so siku akiingiza mabaka ndipo atapoona Moto ukimuwakia.Anadhani kuwamiliki mabosi zao ndio kuwamiliki wote,wanamchora tu.
Unamaanisha Magufuli kinaweza kumkuta kilichomkuta Rais wa mali bwana Keita ?
 
Nasikitika sana, nilimpigia kura yangu pale mwanzo.
Ni kati ya makosa makubwa niliyoyafanya hapa duniani.

Kumjali mtu asiyejali watu. Wacha mawe yampigie kura.
Naamini wengi tuliom support Magufuli mwaka 2015, kwa sasa tumeamua kutompa support yetu
 
Back
Top Bottom