Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Leo utaskia BOT inatoa wadai Sugu, Watasema Efatha Bank, then utaskia anaulizwa uraia wake, Mara TRA maana ile issue ya "wasio julikana master plan kaondolewa ukuu wa mkoa yupo kigambonino"
 
Sawa nabii
 
Hata ukiongea na mabaka wa chini wanawalaumu wananchi uoga wao ndio kikwazo Chao pa kuanzia,so siku akiingiza mabaka ndipo atapoona Moto ukimuwakia.Anadhani kuwamiliki mabosi zao ndio kuwamiliki wote,wanamchora tu.
Hajui kuwa ma boss hawajui kuwa hajui
 
Magufuli mtu wa Mungu uliletwa uikomboe Tz toka kwa Hawa wenye akili ndogo za kitumwa. Twende kazi jembe!
Upinzani kwa ujumla km watafikisha 20% ya kura uchaguzi huu tutawapa nchi!
Aikomboe toka kwa nani CHADEMA ndiyo wenye nchi?
 
Kwahiyo Askofu kafunika kombe mwanaharamu apite,,!!.

Wewe nikikuambia ni shoga na sijatoa ushahidi. Unafikiri kuna mwenye akili atazitoa tuhuma hizo kanisani wakati hazijathibitishwa?

Uwe na akili hata kidogo.
Hujui tofauti ya Tuhuma na tukio la kweli?
 
Lisu oktoba mapema tu anarudi ubelgiji analia

Hata waliompiga risasi walifikiri kama wewe kuwa Risasi 38 zitampeleka kuzimu Tundu Lisu matokeo yake Lisu akaponywa na Mungu. Siajabu wengine wametangulia na ninaamini watazama kuzimu kabla ya Tundu Lisu.
 
Sijui anadhani humo kanisani kwake kuna Chadema tuu ! Amebugi stepu vibaya sana ! Lisu hawezi shinda hata kwa dawa !
 
Ni maono mazito mno haya ila maadui wa Mwenyezi Mungu wamepofuliwa na dhambi zao ili wasije kuiona NURU na hatimaye kuokoka...

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Mungu ana makusudi na yeye2020 noma sana
 
Mchungaji atapelekewa invoice ya TRA

Ndugu Alishapelekewa kitambo sana, na ndisho kinachomfanya apige kelele nyingi. Nadhani alinyanganywa ardhi aliyowapora wanakijiji na akawafungia hata njia ya kupita kutoka kijijini kwao kwenda hospitali, mjini na sokoni, ikawabidi wazunguke kilometer 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…