Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kwa kweli!Mtuache tupumue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli!Mtuache tupumue
Leo utaskia BOT inatoa wadai Sugu, Watasema Efatha Bank, then utaskia anaulizwa uraia wake, Mara TRA maana ile issue ya "wasio julikana master plan kaondolewa ukuu wa mkoa yupo kigambonino"Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.
Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.
Hakika mtu huyu ni Victor(mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.
Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.
Video hii hapa chini.
View attachment 1578769

Sawa nabiiAna maumivu tu huyo Hana lolote
Walizoea kupiga enzi za jk Sasa hv maumivu tupu.
Magu endelea kuwanyoosha. Niliwahi kumsikia miaka kadhaa iliyopita anajitapa tena kanisani eti Mungu NI mkubwa Sana Ninamiliki zaidi ya 500 pairs of shoes
Wakatii kanisani kwake Kuna watu wanatembea wamevaa ndala hawajui kiatu. Alinishangaza Sana kwa hiyo statement sitakaa nisahau nilikuwa naangalia kwenye TV anahubiri.
Nabii anakula GWAJIMAHuyu nabii si ndo anakulaga kondoo? Utabiri fake huo chezea sadaka na biashara ya unga kuyumba, lazima achanganyikiwe!
magu tar 28 tunamrudisha Chato na bodabodaLisu oktoba mapema tu anarudi ubelgiji analia
Hajui kuwa ma boss hawajui kuwa hajuiHata ukiongea na mabaka wa chini wanawalaumu wananchi uoga wao ndio kikwazo Chao pa kuanzia,so siku akiingiza mabaka ndipo atapoona Moto ukimuwakia.Anadhani kuwamiliki mabosi zao ndio kuwamiliki wote,wanamchora tu.
Aikomboe toka kwa nani CHADEMA ndiyo wenye nchi?Magufuli mtu wa Mungu uliletwa uikomboe Tz toka kwa Hawa wenye akili ndogo za kitumwa. Twende kazi jembe!
Upinzani kwa ujumla km watafikisha 20% ya kura uchaguzi huu tutawapa nchi!
Kwahiyo Askofu kafunika kombe mwanaharamu apite,,!!.
Lisu oktoba mapema tu anarudi ubelgiji analia
Sijui anadhani humo kanisani kwake kuna Chadema tuu ! Amebugi stepu vibaya sana ! Lisu hawezi shinda hata kwa dawa !Mzee wangu Mwingira hajifunzi, 2015 alimbeza na kumtukana JPM na bado alishinda.
Nyuma ya pazia huyu mzee anaongozwa na ukabila wa mkewe mambo ya uchagani, wachaga wengi walikuwa wezi, njia za wizi zimebanwa, kujipendelea kazi nako siku hizi imekua ngumu so wamechanganyikiwa. Dkt Magufuli ndiye rais wetu atake asitake!
Ni maono mazito mno haya ila maadui wa Mwenyezi Mungu wamepofuliwa na dhambi zao ili wasije kuiona NURU na hatimaye kuokoka...Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.
Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.
Hakika mtu huyu ni Victor(mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.
Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.
Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
Sawa mkuu ni haki yako hasa ikiwa kufanya hivyo ndio itapunguza ghadhabu ulizonazo ila vingenevyo utajitia stress tu.Lazima nipige kura kumchagua Antipasi
Mungu ana makusudi na yeye2020 noma sanaNi katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.
Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.
Hakika mtu huyu ni Victor(mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.
Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.
Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
maandalizi ya kusema mmeibiwa kuraUkifikiria kwa jicho la kiroho kama ambavyo Mshana Jr ameshawahi kueleza humu kuwa Lissu sio binadamu tena. Anayejaribu kupamabana naye ajiulize mara mbili mbili.
View attachment 1578779
Mungu anadhihirisha ukuu wakeUkifikiria kwa jicho la kiroho kama ambavyo Mshana Jr ameshawahi kueleza humu kuwa Lissu sio binadamu tena. Anayejaribu kupamabana naye ajiulize mara mbili mbili.
View attachment 1578779
Mchungaji atapelekewa invoice ya TRA