Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Wewe nikikuambia ni shoga na sijatoa ushahidi. Unafikiri kuna mwenye akili atazitoa tuhuma hizo kanisani wakati hazijathibitishwa?

Uwe na akili hata kidogo.
Hujui tofauti ya Tuhuma na tukio la kweli?
Tuhuma zimeshathibitishwa,labda wewe hukuzipata.zipo za maandishi na za video kati ya shoga wakili Robert na Lissu.
 
Leo utaskia BOT inatoa wadai Sugu, Watasema Efatha Bank, then utaskia anaulizwa uraia wake, Mara TRA maana ile issue ya "wasio julikana master plan kaondolewa ukuu wa mkoa yupo kigambonino"
Hahaha watashindwa tu. Lakink tutarajie mengi
 
Mtakoma mwaka huu. Hii sio ukawa ya 2015 mliocgezea. Jeshi la Mtu mmona labda mumuue.
Kukaa kimya nako ni hekima. Lissu anafuatwa kishabiki tu. Hawezi shida Urais, tukutane oct 28.
 
magu tar 28 tunamrudisha Chato na bodaboda
Mwenzio mpaka saa hii ana wabunge 20 huku yeye Lisu akiwa na 0

Oktoba hii mbona mtafurahi sana kuliko 2015!
 
Hata waliompiga risasi walifikiri kama wewe kuwa Risasi 38 zitampeleka kuzimu Tundu Lisu matokeo yake Lisu akaponywa na Mungu. Siajabu wengine wametangulia na ninaamini watazama kuzimu kabla ya Tundu Lisu.
Hiyo haiondoi ukweli kwamba Lisu hatapata zaidi ya asilimia 20 ya kura zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…