NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Tuhuma zimeshathibitishwa,labda wewe hukuzipata.zipo za maandishi na za video kati ya shoga wakili Robert na Lissu.Wewe nikikuambia ni shoga na sijatoa ushahidi. Unafikiri kuna mwenye akili atazitoa tuhuma hizo kanisani wakati hazijathibitishwa?
Uwe na akili hata kidogo.
Hujui tofauti ya Tuhuma na tukio la kweli?