greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Unao ushahidi mpumbavu wewe.Kupiga nini acha ujinga wako kwani huyo anayepiga trillion 1.5 ni wakati wa Kikwete huu, nani aliwahi kuiba pesa ndefu hivo achilia ufisadi wa kujenga kiwanja kijijini kwake, bora hata enzi za Kikwete maana huyo vingekuwa vyombo vya habari viko huru angepigwa na mawe akiwa jukwani na watu walivyo na hasira nae subiri tarehe 28
Mtuache tupumue
Si mkawanajisi sasa hivi mmoja anacheza singeli huko ccm.Unawakumbuka hawa manabii? [emoji116][emoji116]View attachment 1579174
Unstead momentum yaaniThis is a game changer
We kajamaaa utakuwa unasafishwa mtaro et ?Wale wakongamano Dodoma walilipwa na serikali ndio wapuuzi zaidi
Hao wabunge wamechaguliwa na nani? TL atapata wabunge wa kuchaguliwa sio Viti maalum wanaume. Wanagongwa?Mwenzio mpaka saa hii ana wabunge 20 huku yeye Lisu akiwa na 0
Oktoba hii mbona mtafurahi sana kuliko 2015!
βββto stayWe kajamaaa utakuwa unasafishwa mtaro et ?
Hilo nalilaani kama ni kweli, na kuna mahali humu nimeandika kwamba wahusika walitolee jibu. Msimamo wangu ni kupinga unyang'anyi bila kujali umefanywa na mtu wa upande upi.Wewe utakuwa unaunga mkono uporaji wa ranchi za wananchi Karagwe wewe na unyang'anyi wa pesa za walalahoi kupitia vitambulisho vya wamachinga.
Mbona unaitetea sana CCM?
Wengine ushinda tu kwa mabavu lakini si kwa ushindani.Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.
Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.
Hakika mtu huyu ni Victor(mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.
Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.
Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
This time hiyo haitatokeaWengine ushinda tu kwa mabavu lakini si kwa ushindani.
Tuombe uhai mkuu.... ni wengi asee! ... unaona wanavyofurika kwenye mikutano ya Lissu? ... nchi hii ina watu mamillion waliokuwa wanufaika wa 'status quo' za awamu zilizopita, acha jembe, Jiwe, awakomeshe!
π
π βοΈβοΈβοΈπ₯
Infact kanisa lake limejengwa kwenye open spaceππππWachungaji wa siku hizi sijui wamekuwaje, anajua madhara na faida ya kile anachokiongea kweli huyu?
Eti hajajenga reli na flyover, anampiga dongo JPM wazi wazi kwa miradi inayomtambulisha, ngoja tusubili kwenda kufugia kuku kwenye jengo la kanisa lake pale Mwenge.
Tena kwenye kona eneo la viwanda.Infact kanisa lake limejengwa kwenye open spaceππππ
Na benki yake haina leseni ya BOTπ€ͺπ€ͺπ€ͺTena kwenye kona eneo la viwanda.
Hijawasilisha mahesabu yake hazinaNa benki yake haina leseni ya BOTπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Isipotokea itapendeza cha msingi haki iwekwe mbele!This time hiyo haitatokea
Mtu mwenye Phd anadanganywa vip kienyeji hivyoBashiru na polepole wanamdanganya eti picha za mikutano ya Tundu Lissu ni za 2015
Meko na maccm wenzako mwafaaaaaaKwa kuzingatia kauli yake mwenyewe, hizi nyomi za Upinzani zinamnyima usingizi.
Hata kama ni wewe mkuu, mtu aliyekuwa branded 'msaliti' kisha akamiminiwa risasi 16 na akawa nje ya nchi kwa miaka almost mitatu kwa matibabu na mikutano yake haina wasanii wala haitumii malori, mabasi wala matela kujaza watu na huku
'WEWE' umejenga Mareli, Madaraja, Mabwawa, Ma airport na Mandege umenunua then anakuzidi wafuasi lazima 'ulegee'.