Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Kupiga nini acha ujinga wako kwani huyo anayepiga trillion 1.5 ni wakati wa Kikwete huu, nani aliwahi kuiba pesa ndefu hivo achilia ufisadi wa kujenga kiwanja kijijini kwake, bora hata enzi za Kikwete maana huyo vingekuwa vyombo vya habari viko huru angepigwa na mawe akiwa jukwani na watu walivyo na hasira nae subiri tarehe 28
Unao ushahidi mpumbavu wewe.
 
Alokujaga joshua pekupeku wakati wa lowasa na bado hola
 
Mwenzio mpaka saa hii ana wabunge 20 huku yeye Lisu akiwa na 0

Oktoba hii mbona mtafurahi sana kuliko 2015!
Hao wabunge wamechaguliwa na nani? TL atapata wabunge wa kuchaguliwa sio Viti maalum wanaume. Wanagongwa?
 
Wewe utakuwa unaunga mkono uporaji wa ranchi za wananchi Karagwe wewe na unyang'anyi wa pesa za walalahoi kupitia vitambulisho vya wamachinga.

Mbona unaitetea sana CCM?
Hilo nalilaani kama ni kweli, na kuna mahali humu nimeandika kwamba wahusika walitolee jibu. Msimamo wangu ni kupinga unyang'anyi bila kujali umefanywa na mtu wa upande upi.
 
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.

Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.

Hakika mtu huyu ni Victor(mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.

Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.

Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
Wengine ushinda tu kwa mabavu lakini si kwa ushindani.
 
Wachungaji wa siku hizi sijui wamekuwaje, anajua madhara na faida ya kile anachokiongea kweli huyu?
Eti hajajenga reli na flyover, anampiga dongo JPM wazi wazi kwa miradi inayomtambulisha, ngoja tusubili kwenda kufugia kuku kwenye jengo la kanisa lake pale Mwenge.
Infact kanisa lake limejengwa kwenye open space😂😂😂😂
 
Kwa kuzingatia kauli yake mwenyewe, hizi nyomi za Upinzani zinamnyima usingizi.

Hata kama ni wewe mkuu, mtu aliyekuwa branded 'msaliti' kisha akamiminiwa risasi 16 na akawa nje ya nchi kwa miaka almost mitatu kwa matibabu na mikutano yake haina wasanii wala haitumii malori, mabasi wala matela kujaza watu na huku

'WEWE' umejenga Mareli, Madaraja, Mabwawa, Ma airport na Mandege umenunua then anakuzidi wafuasi lazima 'ulegee'.
Meko na maccm wenzako mwafaaaaaa
 
Back
Top Bottom