Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

99% Imeishia wapi? Itafika 30%. Kimbunga
Magufuli mtu wa Mungu uliletwa uikomboe Tz toka kwa Hawa wenye akili ndogo za kitumwa. Twende kazi jembe!
Upinzani kwa ujumla km watafikisha 20% ya kura uchaguzi huu tutawapa nchi!
 
Umesema sana mleta mada ndio maana serikali inawachukia wachaga kweli kweli. But the victors shall triumph!!
 
Hao wabunge wamechaguliwa na nani? TL atapata wabunge wa kuchaguliwa sio Viti maalum wanaume. Wanagongwa?
Utendelea kutoa mapovu ya matusi kama hivi ila utafurahia show mwezi ujao
 
Hilo nalilaani kama ni kweli, na kuna mahali humu nimeandika kwamba wahusika walitolee jibu. Msimamo wangu ni kupinga unyang'anyi bila kujali umefanywa na mtu wa upande upi.

Sasa tuungane kuwang'oa mafisadi madarakani.
Usiwatetee!
 
Hana uchaga wala lolote huyu. Anaugulia maumivu ya sadaka kukata, viwanja vya watu alivyoiba kunyang'anywa na bank yake kitapeli kufungwa....
Tapeli tuu huyu
 
Hata ukiongea na mabaka wa chini wanawalaumu wananchi uoga wao ndio kikwazo Chao pa kuanzia,so siku akiingiza mabaka ndipo atapoona Moto ukimuwakia.Anadhani kuwamiliki mabosi zao ndio kuwamiliki wote,wanamchora tu.
Hii hata mimi nimewahi kuisikia. Muda utaongea. Hapo jeshini kuna vijana waliomaliza form six na wenye degree wengi ni waelewa sana. Hawawezi kuumiza wananchi kisa matakwa ya mtu mmoja.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Kumekuchaaaa !!
 
As
Askofu, watu wanamfuata Lissu kuona MAAJABU na UWEZA wa yeye kupona kifo kutoka kwenye hizo "risasi" alizopigwa! Kwao ni kitu cha ajabu, ingawa kuna uwezekano hizo zilikuwa "risasi za ndege"! Huwezi fahamu mbinu za wasanii bana!
 
Lile jamaa Roho mbaya lazima limbomolee kanisa na kumpa kesi ya uhujumu uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…