Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Waliosema hawana nauli ni wachochezi, walipaswa kutiwa nguvuni.Kuna sehemu flani walimwambia “hatuna nauli”
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliosema hawana nauli ni wachochezi, walipaswa kutiwa nguvuni.Kuna sehemu flani walimwambia “hatuna nauli”
Magufuli mtu wa Mungu uliletwa uikomboe Tz toka kwa Hawa wenye akili ndogo za kitumwa. Twende kazi jembe!
Upinzani kwa ujumla km watafikisha 20% ya kura uchaguzi huu tutawapa nchi!
Umesema sana mleta mada ndio maana serikali inawachukia wachaga kweli kweli. But the victors shall triumph!!Mzee wangu Mwingira hajifunzi, 2015 alimbeza na kumtukana JPM na bado alishinda.
Nyuma ya pazia huyu mzee anaongozwa na ukabila wa mkewe mambo ya uchagani, wachaga wengi walikuwa wezi, njia za wizi zimebanwa, kujipendelea kazi nako siku hizi imekua ngumu so wamechanganyikiwa. Dkt Magufuli ndiye rais wetu atake asitake!
halafu imetakatisha trilioni 800Na benki yake haina leseni ya BOT🤪🤪🤪
Asilimia wanazompa Lissu ndo atapata magufuli wao😂😂😂😂99% Imeishia wapi? Itafika 30%. Kimbunga
😄Waliosema hawana nauli ni wachochezi, walipaswa kutiwa nguvuni.
Kwa mfano Gwajima alinajisiwa vipi na alikuwa mshenga wenu wa kumleta EL?Si mkawanajisi sasa hivi mmoja anacheza singeli huko ccm.
Utendelea kutoa mapovu ya matusi kama hivi ila utafurahia show mwezi ujaoHao wabunge wamechaguliwa na nani? TL atapata wabunge wa kuchaguliwa sio Viti maalum wanaume. Wanagongwa?
Hilo nalilaani kama ni kweli, na kuna mahali humu nimeandika kwamba wahusika walitolee jibu. Msimamo wangu ni kupinga unyang'anyi bila kujali umefanywa na mtu wa upande upi.
Lisu atapata asilimia 20 tu ya kura.Asilimia wanazompa Lissu ndo atapata magufuli wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lissu kawashika mataga pabaya saaaaana!!
Nazidi kukushauri, tafuta ajira ya maana ndugu. Tundu Antiphas Lissu ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025Lisu atapata asilimia 20 tu ya kura.
Subiri oktoba
Mm Sio nabii Wala mtume Wala NaniSawa nabii
Hana uchaga wala lolote huyu. Anaugulia maumivu ya sadaka kukata, viwanja vya watu alivyoiba kunyang'anywa na bank yake kitapeli kufungwa....Mzee wangu Mwingira hajifunzi, 2015 alimbeza na kumtukana JPM na bado alishinda.
Nyuma ya pazia huyu mzee anaongozwa na ukabila wa mkewe mambo ya uchagani, wachaga wengi walikuwa wezi, njia za wizi zimebanwa, kujipendelea kazi nako siku hizi imekua ngumu so wamechanganyikiwa. Dkt Magufuli ndiye rais wetu atake asitake!
Hii hata mimi nimewahi kuisikia. Muda utaongea. Hapo jeshini kuna vijana waliomaliza form six na wenye degree wengi ni waelewa sana. Hawawezi kuumiza wananchi kisa matakwa ya mtu mmoja.Hata ukiongea na mabaka wa chini wanawalaumu wananchi uoga wao ndio kikwazo Chao pa kuanzia,so siku akiingiza mabaka ndipo atapoona Moto ukimuwakia.Anadhani kuwamiliki mabosi zao ndio kuwamiliki wote,wanamchora tu.
Kumekuchaaaa !!Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.
Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.
Hakika mtu huyu ni Victor(mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.
Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.
Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
Askofu, watu wanamfuata Lissu kuona MAAJABU na UWEZA wa yeye kupona kifo kutoka kwenye hizo "risasi" alizopigwa! Kwao ni kitu cha ajabu, ingawa kuna uwezekano hizo zilikuwa "risasi za ndege"! Huwezi fahamu mbinu za wasanii bana!Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.
Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.
Hakika mtu huyu ni Victor(mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.
Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.
Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
NI nini sasa kinawazuia? Woga au nini? Acheni maneno ya UZUSHI jamani!Hii hata mimi nimewahi kuisikia. Muda utaongea. Hapo jeshini kuna vijana waliomaliza form six na wenye degree wengi ni waelewa sana. Hawawezi kuumiza wananchi kisa matakwa ya mtu mmoja.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hiyo haiondoi ukweli kwamba Lisu hatapata zaidi ya asilimia 20 ya kura zote.